Kaka-shemeji, ni kweli he doesn't have to feel he is alone. Lakini ameanza kutu-isolate. Haeleweki eleweki hivi! Na hajui tukimaliza kutumia akili zetu kumtafakuri tutaanza kutumia sub-concious minds.
Hapa kuna pointi,inawezekana alitaka rushwa?Ama alitaka aambiwe nini na huyo mtu wa ikulu usiku usiku amabalo lina manufaa na mgomo na si manufaa yake binafsi?good question.zomba pamoja na ugamba wake aliwahi kuhoji hapa, swali nililojiuliza alfajiri ambayo Uli aliokotwa Mabwepande. Ilikuwaje akaenda kuonana na mtu wa state house peke yake tena usiku, kuongelea mgomo wa madaktari?
Ajieleze ili nae ajibu maswali ya watu. Still hai_justfy kuteswa na dola, lakini hii inaweza kuwa muendelezo wa mambo mengine tusiyoyajua wala kutaka kuyahoji!
Ulimboka keshapata fungu lake tayari tutabwabwaja wee yeye yuko kimya anakula bata tu,siku ulimboka akiwataja hadharani "nahama nchi" waliosoma upepo mapema jamaa baada ya kurudi wakanyamaza sababu walijua jamaa kesha kuwa kigeugeu baada ya kupozwa kwa kitu,Kova naye namshangaa kesi tushazoea kuambiwa iko mahakamani hatuwezi kuiongelea hii ya ulimboka yenyewe kumbe hainashinda hata kama inasikilizwa inaongelewa tu..
Pesa ni lazima watajaribu kumpa,hilo halina ubishi kama unaielewa bongo vyema.Na kama amefanya hivyo,yani kuzipokea,tutajuwa tu.Tusi rush kwenye conclusion.
Kama anapita hapa,comments zetu zinatakiwa zimu encourage ili tusije kuendelea kupeana lawama za unafiki.He doesn't have to feel like he's alone,kwahiyo tusifanye kosa la kumu alienate.Ni mtu amabaye pande zote zinamuhitaji kwenye mustakabali wa Taifa.Mafisadi wanamtaka and so as wanaharakati na wazalendo,kila mmoja kwa nia yake.Ni juu yake kuchagua upande sahihi wa historia ili isije muhukumu tofauti.Akumbuke hilo tu.
Naanza kumdharau huyu jamaa, wala hana ujasiri tuliodhani anao. Wa tz tuendelee na mambo mengine ya maana tuachane naye amalzane na watesi wake kwa shari au heri.
Wewe kutaja jina lako halisi tu unaogopa halafu unamsakizia mwenzako aingie kwenye vita na dola!!! Nyinyi watu mko very ridiculous...
wewe tu ndo unajua hili sio jina lenye kunitambulisha....ukija mtaani kwangu nafahamika ivo,maskani yangu Kimara Temboni wananifahamu...mate zangu MUHAS(MUHIMBILI UNIVERSITY)wananijua kwa jina hili toka enzi....nina historia ya kumu-attend mgonjwa akiwa serious case ya kidonda kilichotokana na kukeketwa....there the name originated!SIJIFICHI....ukimuliza Tundu Lisu atakwambia...kwa msaada wa Dk.MBOWE(Mke wa Freeman) 2005j Lisu alitutetea kisheria baada ya kuwa tumefanya mgomo wa kufa mtu na madrs tukashinda.'jina langu ndo hil4
So what's "Ngaliba"?limekaa kiubabe kweli,nataka nijuwe maana yake if you don't mind.wewe tu ndo unajua hili sio jina lenye kunitambulisha....ukija mtaani kwangu nafahamika ivo,maskani yangu Kimara Temboni wananifahamu...mate zangu MUHAS(MUHIMBILI UNIVERSITY)wananijua kwa jina hili toka enzi....nina historia ya kumu-attend mgonjwa akiwa serious case ya kidonda kilichotokana na kukeketwa....there the name originated!SIJIFICHI....ukimuliza Tundu Lisu atakwambia...kwa msaada wa Dk.MBOWE(Mke wa Freeman) 2005j Lisu alitutetea kisheria baada ya kuwa tumefanya mgomo wa kufa mtu na madrs tukashinda.'jina langu ndo hil4
So what's "Ngaliba"?limekaa kiubabe kweli,nataka nijuwe maana yake if you don't mind.
Ulimboka kapewa hela, wamesuka uongo na polisi kuwahadaa watanzania. Kila mtu msaliti.
Hapa kuna pointi,inawezekana alitaka rushwa?Ama alitaka aambiwe nini na huyo mtu wa ikulu usiku usiku amabalo lina manufaa na mgomo na si manufaa yake binafsi?good question.
Wewe mwenyewe unajipendekeza ccm ili uchumie Hilo tumbo lako kubwaHakuna maskini anaeingia kwenye siasa ili awatetee wanyonge kabla ya kutetea maslahi (tumbo) lake kwanza. Khulka ya Watanzania hata anapokwenda kusomea somo fulani, kwa jinsi bado tulivyo nyuma ki maisha, huwa kwanza unafikiria usomeee nini kinacholipa zaidi. Hatujafikia stage ya kusema nasomea "udaktari" ili nibadilishe maisha ya watu kwa taaluma yangu. Simply kwa sababu ni masikini tuliofunguliwa minyororo na kuonjeshwa raha za kuwa nacho.
Vizazi vitano baadae, tutapokuwa na warithi wa mali wasizozijuwa chanzo chake tutaanza kuwa na wimbi la vijana wataojituma kwa faida ya wengi kwa kuwa tu, wanazo, hawana jipya katika anasa linalowastuwa au wanalolitamani amabalo hawajalikuta ayari, hapo ndipo tutapata vijana wanaoinhia kwenye fani yoyote waipendayo kwa kuweka "impact" na "legacy" zao kwa kutenda mema mengi kwa ajili ya wengi.
Mifano hai, ni waliozaliwa na kuuukuta utajiri wa vizazi japo viwili au vitatu nyuma, ni tofauti na wale wanaozaliwa na kuukuta utajiri unaotengenezwa na wazazi wao na huku wanaujuwa vyanzo vyake.
Si Ulimboka, si vitajiri uchwara vingine vyovyote vyenye kisomo kilichotokana kwenye umaskini wawe na muono wa kutumikia wengi kabla hawajafikiria kutumikia matumbo yao kwanza na kuonesha wanawazunguka kuwa wao wamefanikiwa.
Tofauti na mtu kama Sabodo, aliyezaliwa na kukuta tayari mali kede kede kwao na yeye hakuwa na shida lakini kila alilolifanya kama yeye nalo likawa linamzalishia mali kwa wingi zaidi na anaendelea kuzalisha akiba alizozirithi za vizazi vitatu au vinne nyuma, mtu kama huyu huwa anataka kuweka legacy kwa kunifaisha wengi kwa mali zake na si kunufaisha tumbo lake.
Ulimboka bado ni kichumia tumbo tu na Watanzania wengi bado tunamuona bora na alieweza maisha yule mwenye nacho.