Polisi kupiga na kuwatupa Watu maporini: Nchi imeingia kwenye State Terrorism?

Polisi kupiga na kuwatupa Watu maporini: Nchi imeingia kwenye State Terrorism?

Hadi unatia huruma!
sure gentleman,
familia ya bibi kamanda wa Chadema imefedheheka sana na kwakweli wajukuu zake wemehuzunika sana kwamba bibi aliaga anaenda kikoba karudi na majeraha na ngeu mbaya sana mapajani dah,

inasikitisha sana na inafedhehesha sana aise gentleman 🐒
 
Huyu kiwango chake cha uovu kimemtoa kwenye hali ya ubinadamu. Ni psychotic.
 
Chadema wapigwe wachake wapumbavu hao

Wanadhani wanaweza kuitisha serikali na mikelele yao ya ulevi wa valuer


Pigaa pigaa
 
Mwendawazimu wa akili, thread haikuhusu. Unataka mpaka nikublock ndiyo ujue kuwa nahitaji watu wenye akili timamu tu kuchangia mada niziletazo?
Huyo MAITI ni mhusika sana katika kundi linalofanya uovu sasa hivi kumpigania Samia. Huyu ni mwajiriwa wa kujaza takataka humu.
Ukitaka kujuwa, anzia mwanzo kabisa alipoingia humu JF. Alikuja kwa kazi maalum na yupo kuendeleza kazi hiyo ovu.
Samia akiondoka madarakani kesho, huyo MAITI hutamwona tena akijaza uchafu wake kwenye kumbi hizi ndani ya JF.
 
Utawala wa madiktekta uchwara hapa Tanzania una kopi na ku paste yafuatayo kutoka tawala za ma dictator:

NJAMA KUBWA ZA VYOMBO VYA USALAMA DHIDI YA WAPINZANI / RAIA HURU HUKO LATIN AMERICA (CHILE)

Operation Condor​

A criminal conspiracy to forcibly disappear people​

1. COORDINATED REPRESSION
2. CONDOR I, II AND III
3. ORLETTI II
4. SOME OF THE STORIES TOLD DURING THE TRIAL
5. THE RIGHT TO TRUTH
6. THE ACCUSED AND THE VICTIMS
7. THE VERDICT

Nosotros no sabíamos | León Ferrari

Within the context of Operation Condor, the coordinated repression passed through different phases:

-In the first, a centralized database was created on guerrilla movements, left-wing parties and groups, trade unionists, religious groups, liberal politicians and supposed enemies of the authoritarian regimes involved in the operation.

-In the second, people considered political “enemies” at the regional level were identified and attacked.


-In the third and final phase, operations were carried out to track down and eliminate persons located in other countries in the Americas and Europe.

The declassified documentation available shows that various US government agencies had early knowledge of the scope of the repressive coordination and did not make much effort to stop it until it had reached the third phase, which proved the most problematic because the operations could no longer be kept under wraps

READ source : Operation Condor


trialinternational.org
Augusto Pinochet-Ugarte

6 Nov 2012 — The mental state of General Pinochet however was still subject to controversy at the time. 2. Second case: «Operation Condor

Operation Condor (case closed on 17 June 2005)

Acts of torture, abductions, forced disappearances and summary executions were committed during the dictatorship.

The elected government which succeeded Pinochet published, on 4 March 1991, an official report listing 3,197 deaths and 967 disappearances during the 17 years of Pinochet’s presidency.

The National Commission on Political Imprisonment and Torture, set up in August 2003, transmitted to President Ricardo Lagos, on 11 November 2004, a report indicating that torture was practised systematically under the Pinochet regime.

More than 200 criminal complaints were filed against Pinochet in Chile by close relatives of the victims. The proceedings, conducted mainly by Judge Juan Guzman Tapia, were based on two events.


First, the abduction of 75 political opponents followed by the summary execution of 56 of them and the disappearance of 19 others:

these acts were committed by a military unit known by the name of the “Caravan of Death” which criss-crossed the country in the months following the coup d’état.

The second event related to the so-called “Operation Condor”, a quasi network of all the Secret Services of the South-American dictatorships (Argentina, Bolivia, Brazil, Chile, Paraguay and Uruguay) whose purpose was to eliminate political opponents abroad.


The Chilean Secret Service (the DINA), under the command of Manuel Contreras, a close ally of Pinochet, was thought to have played an important, if not fundamental, role in promoting this project.


Manuel Contreras was judged and convicted in Chile. It was during his trial in 1997 that Pinochet’s responsibility as the real head of the DINA became apparent.

READ MORE : Augusto Pinochet-Ugarte - TRIAL International




MATUKIO YA UTEKAJI NA KUTUPWA PORINI TANZANIA, KESI YA KISUTU
View attachment 3316872

View attachment 3316877

View attachment 3316884


Hakika Tanzania tumepata dictator Pinochet wetu, Samia. Kuna siku lazima alipie udictator na damu zisizo na hatia alizozimwaga.
 
Huyo MAITI ni mhusika sana katika kundi linalofanya uovu sasa hivi kumpigania Samia. Huyu ni mwajiriwa wa kujaza takataka humu.
Ukitaka kujuwa, anzia mwanzo kabisa alipoingia humu JF. Alikuja kwa kazi maalum na yupo kuendeleza kazi hiyo ovu.
Samia akiondoka madarakani kesho, huyo MAITI hutamwona tena akijaza uchafu wake kwenye kumbi hizi ndani ya JF.

Nakubaliana nawe, huyu Tlaatlaah hawezi kuwa binadamu wa kawaida, yumkini ni kati ya hao wauaji ambao wapo humu kwaajili ya kutetea na kuulinda uovu wanaoufanya.
 
Tumeshuhudia siku za hivu karibuni uharamia wa kiwango cha hali ya juu sana ambacho hakijawahi kutokea katika historia ya Taifa letu, uharamia unaofanywa na vyombo vya dola dhidi ya wananchi wasio na hatia wanaokosoa dhuluma dhidi ya haki za wananchi za kushiriki kuwachagua viongozi wao.

Watu hawa wanaofanyiwa uharamia, hawana kosa lolote la kishetia, ndiyo maana vyombo vya dola vinawateka, kuwapeleka porini kuwapiga, kuwatesa, kuwavunja mikono na miguu, na kuwatupa huko huko porini. Hawawapeleke mahabusu wala mahakamani kwa sababu wanaofanya vitendo hivyo wanajua kuwa hawana hatia. Kama hawana hatia, na polisi hawawapeleki mahakamani, lengo la polisi kuwafanyia uovu wote huo ni nini? Lengo ni kuwatisha (to terrorize them). Wanataka watu hata wakidhulumiwa haki zao, wasizidai wala kuwakosoa watawala na mifumo inayodhulumu haki.

State Terrorism ni Nini?
From Wikipedia:
State terrorism

State terrorism is terrorism conducted by a state against its own citizens. The government uses terrorism or terror tactics against its own population to achieve its evil political goals.

Tafsiri Nyepesi Kwa Kiswahili:
Ugaidi wa dola ni ugaidi unaofanywa na dola dhidi ya raia wake. Serikali hutumia njia za kigaidi, njia za kuwatisha raia wake ili kutekeleza malengo ovu ya kisiasa, yaani serikali inafanya vitendo vya kuwatisha raia wake ili wasihoji uovu unaofanywa na watawala au vyombo vingine vya Serikali.

State terrorism, with its institutionalized instrumentation of terrorist atrocities through massacres, genocides, forced disappearances, kidnappings, imprisonment, carpet bombings, torture and sponsorship of secret death squads, is a deadlier form of terrorism than non-state terrorism.[101][102][103][104] State terrorism has been far deadlier than non-state terrorism historically.

Tafsiri
Ugaidi wa kidola ni ugaidi wa kitaasisi ambao unaweza kuhusisha mauaji ya watu, upotezaji watu, utesaji, mauaji ya kimbali na ufadhili wa makundi ya kufanya mauji. Kihistoria, Ugaidi wa dola ni mbaya zaidi ya ugaidi wa aina nyingine zote.

Tujiulize:
Hapa kwetu, vipi kuhusu mauaji ya wakosoaji dhidi ya mifumo ya udhulumaji wa haki? vipi kuhusu upotezaji wa wakosoaji wa mifumo na kanuni dhulumaji za kusimamia haki? vipi kuhusu kuwafunga wakosoaji, wa mifumo dhulumati inayosimamiwa na Serikali ya CCM?

Vipi kuhusu kuwatesa wakosoaji wanaofuatilia udhulumaji dhidi ya haki ya wananchi kuwachagua viongozi wanaowataka?

Je, tumebakiza nini ili kuwa Serikali inayofanya state terrorism (Ugaidi wa kidola)?
Nchi iingie mara ngapi?
 
SWali lako ni takataka. Ishughulishe akili yako. Zile threads ziluzoorodhesha walioteswa na kutupwa Bagamoyo, na zile za waliotupwa Mabwrpande ambao mpaka sasa wapo hospitali Mwananyamala, hukuziona, au ushetani ndio unaokufanya uulize maswali ya kipuuzi?
Huyu Ana akili lakini imevizwa. Ameshiba, amevimbiwa na kichwani kumejaa AFUNZA. Ana ujinga wa KIHALAIKI. HAKIKA USIMJIBU.
Atakwambia umpe ushahidi kwamba LISU ALIPIGWA RISASI
 
Shetani jingine hili ambalo halina faida kwa yeyote katika Ulimwengu huu!

Hili litaishia kuacha kizazi chake cha laana Duniani.
Mtapigwa mchakae kima nyie

Nguvu yenu ya Umma iko wap?

Ni kipigo tu
 
Hakika Tanzania tumepata dictator Pinochet wetu, Samia. Kuna siku lazima alipie udictator na damu zisizo na hatia alizozimwaga.

Tunaona sasa mtaani nchi ipo chini ya para military yaani inatawaliwa na vyombo vya usalama
 
Back
Top Bottom