GE2025 Polisi Lindi: Hakuna aliyekamatwa kwenye mkutano wa Chama cha AAFP, wanatoa madai ya uongo

GE2025 Polisi Lindi: Hakuna aliyekamatwa kwenye mkutano wa Chama cha AAFP, wanatoa madai ya uongo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Jeshi la Polisi mkoani Lindi limetolea ufafanuzi madai ya mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Wakulima (AAFP), Kunje Ngombare Mwiru ambaye alisema vurugu zilizotokea jana kwenye eneo Kilwa Masoko zilisababisha ashindwe kufanya mkutano.

Soma Pia: Chama cha AAFP yaahirisha mkutano wa kampeni kisa kukuta gari iliyobandikwa picha ya Rais Samia

View attachment 3476808
Hao wanaharamu ni kawaida yao kukanusha kila jambo wanalolifanya kinyume cha sheria!
 
Polisi wameapishwa ku deal na CHADEMA tu.
Sasa kama mwanachama wa AAFP kwanza utampata wapi?
 
Back
Top Bottom