Wameisha changanyikiwaWametoa sababu zozote za kupiga marufuku mandamano ya tarehe 29?
Ukiandamana ukakutana nao watakupa sababuWametoa sababu zozote za kupiga marufuku mandamano ya tarehe 29?
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, ACP Mkama, amewataka wananchi kupuuza wito wa maandamano unaosambazwa mitandaoni kwa kueleza kuwa ni kinyume cha sheria na unaweza kuvuruga amani ya nchi.
Kauli hiyo imetolewa Oktoba 24, 2025 wakati wa hitimisho la mazoezi ya pamoja ya majeshi yote ya ulinzi na usalama yaliyofanyika Manispaa ya Morogoro, ikiwa ni maandalizi kuelekea Uchaguzi Mkuu.
Aidha, Kamanda Mkama amewahimiza Maofisa na Askari wa vyombo vyote vya ulinzi na usalama kutekeleza majukumu yao kwa weledi, kwa kuzingatia sheria na kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa amani na utulivu.
Mimi siandamani na wala SITIKI lakini nilikuwa ninataka kujua sababu za kupiga marufuku maandamano hayo.Ukiandamana ukakutana nao watakupa sababu
Sababu wamesema watazitoa wakikutana na mtu anaeandamanaMimi siandamani na wala SITIKI lakini nilikuwa ninataka kujua sababu za kupiga marufuku maandamano hayo.
Polisi dunia nzima huwa wanatoa sababu loud and clear kwa nchi ambazo haziko kwenye tawala za kijeshi kwanini hawa wa kwetu hawasemi sababu ili kila raia mwema ajue na organisers waahirishe mpaka tarehe nyingine?Sababu wamesema watazitoa wakikutana na mtu anaeandamana