figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
MmhTukiendelea kuwaendekeza Polisi watatumaliza, tuna nguvu, akili na maarifa na tunaishi nao mtaani, watoto wao tunajua wanakocheza na kusoma. Sitawafundisha kial kitu
Safi sana hongereni jeshi la polisi huyo mbwa anataka kupimana nguvu na jeshi asitoke bila kukatwa marinda!Madeleka ana bahati sana hajapotezwa.
Baada ya Presha ya Mitandaoni Polisi wakiri kumshikilia.
MY TAKE
Jeshi la Polisi linafanya kazi kwa kukomoana. Kwamba tumkamate Ijumaa ili atoke Jumatatu, sababu wanajua siku za kawaida atapewa dhamana hatalala korokoroni.
Gari nalo lina makosa gani? Maokoto yake nayo yamewakosea nini?
Anza wewe mzee,Tukiendelea kuwaendekeza Polisi watatumaliza, tuna nguvu, akili na maarifa na tunaishi nao mtaani, watoto wao tunajua wanakocheza na kusoma. Sitawafundisha kial kitu
Lioneni lingine hili hapa limeanza kuwashwa, nenda kajipendekeze upate ujira wako! Ulivyo huna haya unaandika upupu usiowezekana! Kwanza hakuna mtanzania atafanya huo upuuzi! Nyumbu ni zero brain!Tukiendelea kuwaendekeza Polisi watatumaliza, tuna nguvu, akili na maarifa na tunaishi nao mtaani, watoto wao tunajua wanakocheza na kusoma. Sitawafundisha kial kitu
We bwege huwezi kuwafundisha jeshi la polisi namna ya kufanya kazi. Eti afisa wa mahakama anayeidharau mahakama! Avunjwe viuno mnawabembeleza sana, wasiwazoee jeshi la polisi!Watamgeuzia kibao cha ugaidi au uhaini.
Kwani kudharau maagizo ya mahakama ndiyo mmkamate, kwanini msimuite akaja? Au kumkaata mnapata allowance ya vijisenti? Ie arrest allowance
Sheria zetu zinaelekeza kupelekana mahakamani sio kukatana.Safi sana hongereni jeshi la polisi huyo mbwa anataka kupimana nguvu na jeshi asitoke bila kukatwa mirinda!
Kama wewe wahuni walivyokutatua hayo yako?Safi sana hongereni jeshi la polisi huyo mbwa anataka kupimana nguvu na jeshi asitoke bila kukatwa mirinda!
Mkuu tangu ukatwe marinda yako bado una wenge etiSafi sana hongereni jeshi la polisi huyo mbwa anataka kupimana nguvu na jeshi asitoke bila kukatwa marinda!
Ukidharau amri ya mahakama hutakiwi kukamatwa?Tukiendelea kuwaendekeza Polisi watatumaliza, tuna nguvu, akili na maarifa na tunaishi nao mtaani, watoto wao tunajua wanakocheza na kusoma. Sitawafundisha kial kitu
Haihusiani na kukamatwaUkidharau amri ya mahakama hutakiwi kukamatwa?
Hayo yanasemwa kila siku na hakuna cha maana,mnajisumbua tuTukiendelea kuwaendekeza Polisi watatumaliza, tuna nguvu, akili na maarifa na tunaishi nao mtaani, watoto wao tunajua wanakocheza na kusoma. Sitawafundisha kial kitu
Hivi huwa mna akili nyie?Haihusiani na kukamatwa