Polisi: Madeleka tunamshikilia kwa kudharau amri ya mahakama Kuu

Polisi: Madeleka tunamshikilia kwa kudharau amri ya mahakama Kuu

Madeleka ana bahati sana hajapotezwa.

Baada ya Presha ya Mitandaoni Polisi wakiri kumshikilia.
====

TAARIFA KWA UMMA

POLISI DAR ES SALAAM INAMSHIKILIA WAKILI PETER MADELEKA KWA TUHUMA ZA KUDHARAU AMRI YA MAHAKAMA KUU
​

Mnamo tarehe 14 Agosti, 2026 saa 09.30 alasiri eneo la Mikocheni B Kinondoni Wakili Peter Daniel Madeleka alikamatwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kudharau amri ya Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi "Mahakama ya Mafisadi" iliyotolewa tarehe 27 Julai, 2026 na 13 Agosti, 2026.

Tarehe 17 Agosti, 2026 atafikishwa Mahakamani kwa hatua zaidi za kisheria.

Imetolewa na;- Kamanda Kanda Maalum ya Polisi, Dar es Salaam.

MY TAKE
Jeshi la Polisi linafanya kazi kwa kukomoana. Kwamba anajifanya jeuri, tumkamate Ijumaa ili atoke Jumatatu. Tumnyooshe. , sababu wanajua siku za kawaida atapewa dhamana hatalala korokoroni.

Gari nalo lina makosa gani? Maokoto yake nayo yamewakosea nini?
Mihimili yetu yote mitatu ni ya kipumbavu sana!

Obviously, amri aliyoitoa Msajili wa Mahakama ni haramu—a blanket ban on communicating with reporters across entire "court premises" violates Article 18 of the Constitution of the United Republic of Tanzania, which explicitly guarantees freedom of expression, freedom of the press, and the right to seek, receive, and disseminate information. It’s an unreasonable limitation!
 
Kuna kazi ni za hovyo, ila hii ya polisi kwenye nchi ya giza nahisi inaongoza.
 
Back
Top Bottom