Tetesi: Polisi major Rajabu Chipila wa kituo kikuu polisi Dodoma adhulumu haki za kiraia

Yaani nimestuka mwenzenu hapa huyo Dr kanifundisha UDSM na ninamawasilano nae jamani......duh...
 
Mbona kama umepaniki sana mkuu
Hebu tulia uandike taratibu, una hoja mbili mdogo wako kupigwa na vyeti vya mtu kutumiwa na mtu mwingine.
 
tafuta hiyo haki ya mdogo wako....kwa kufuata taratibu sahihi...
ya kaisari muachie kaisari jombaaa.......
imenishsangaza kwanini mpaka leo hawajakutana kwenye index number ya cheti kwenye uhakiki wa daftari la mishahara na wote ni watumishi wa umma....
 
Kabla sijaanza kutiririka Mkuu hivi kumbe hata huko katika Jeshi la Police kuna Vyeo vya Major? Headline yako imenipa sana ukakasi uliotukuka. Nielimishe tafadhali.
Jwtz wanaita ssgt polisi wanaita major.
 
Acha majungu basi na wewe fanya kazi,umekwenda kulalamika kwa OSS au kwa OCD au wakuu wa huyo major wako humu jf?, umezidiwa kete kwa mwanamke unakuja kupiga kelele huku, kwa taarifa "ukitaka kupelekwa mahakama hua unapigiwa simu?, usiporeport unakamatwa na dhamana yako kufungwa mpaka siku unapelekwa mahakamani"
 
Yaani nimestuka mwenzenu hapa huyo Dr kanifundisha UDSM na ninamawasilano nae jamani......duh...
Mwambie aliyemuuzia cheti anadhurumu haki za RAIA akishirikiana na mtuhumiwa Mwl Salumu Kanyame wa UDOM kitivo cha education ambaye ni classmate wake pale Ndanda secondary.
 
Mimi huwa sitishwi nachokiandika ninauhakika nacho na kamwe hatoki tena hatoki na kuhusu kufuatilia leo nimefuatilia na Niko kwa hatua nzuri.
 
Rajab chipila ni classmate wangu udsm na kweli yko anafundisha udsm,kiswahili.Ni mtu wa Mtama mmakonde na alisoma Ndanda.Huyo polis alinunua cheti asee
 
Nimemfowardia class mate wetu mwingine huu uzi maana yeye ana mawasiliano naye mtuma salaam wa dw wa siku nyingi ,Adam Rajab Chipila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…