Tumshitakie Da MangeKimambiMAJOR RAJABU CHIPILA BASHITE.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumshitakie Da MangeKimambiMAJOR RAJABU CHIPILA BASHITE.
Wapo Sajini Major..kwa kifupi wanawaita MajorKabla sijaanza kutiririka Mkuu hivi kumbe hata huko katika Jeshi la Police kuna Vyeo vya Major? Headline yako imenipa sana ukakasi uliotukuka. Nielimishe tafadhali.
Mwalimu Chipila amenifundisha Shahada ya Kwanza, nilistuka kuona jina lake... Kumbe alicheza 'fair' zama hizo. Kugawana ni kujali...Mdogo wangu amepigwa na kutaka kuuawa na Mwl Salumu Kanyame lakini polisi hawajamkamata mtuhumiwa na siku kesi ilipotakiwa kwenda mahakamani anapigiwa simu mtuhumiwa anajibu ninakazi inapangwa Sikh nyingine.Major Rajabu Chipila ni mmakonde aliyenunua cheti cha Mwl Rajabu Chipila wa UDSM ambaye alimaliza Ndanda secondary miaka ya 1999 Mimi nikiwa ndanda sec form two namfahamu mwenye jina haliasi ambaye ni Mwl na si huyu polisi ambaye amefanya forgery.
Tukipata raia wema kama nyinyi nchi itanyooka vizuriMimi huwa sitishwi nachokiandika ninauhakika nacho na kamwe hatoki tena hatoki na kuhusu kufuatilia leo nimefuatilia na Niko kwa hatua nzuri.
Ni hivi Mwl Salumu Kanyame wa UDOM anajua siri ya kufoji cheti cha huyu major kwa kuwa alisoma na Rajabu Chipila original hivyo haki haiwezi kutendeka kwani mdogo wangu anapigwa danadana mpaka navyokuambia mtuhumiwa hajakamatwa anakula bata akikingiwa kifua na major Rajabu Chipila fakekuna mambo mawili hapa kipi unataka mkuu kutumbua 9000 au kutotendewa haki kwa mdogo wako
ninachotaka kujua hapa ni kwamba issue ya mdogo wako kupigwa danadana in husiana nini na kufoji cheti sasa hapa issue unayotaka kusema ni kufoji cheti au kutotendewa haki kwa mdogo wako ?na je mdogo wako amefanya jinai ipi? kuwa straight ili watu wajue wachangie nini?Ni hivi Mwl Salumu Kanyame wa UDOM anajua siri ya kufoji cheti cha huyu major kwa kuwa alisoma na Rajabu Chipila original hivyo haki haiwezi kutendeka kwani mdogo wangu anapigwa danadana mpaka navyokuambia mtuhumiwa hajakamatwa anakula bata akikingiwa kifua na major Rajabu Chipila fake
hivi mkuu wa polisi kilimanjaro anaitwa nani vile?Mtumbuaji atakapoingia kuwafichua mabashite ndani ya jwtz mtasikia mambo, nusu ya wote vyeti vya kufoji.
Wewe hujui mtu akifoji cheti anakuwa hana weledi? Kazi ya polisi ni kupokea malalamiko ya kijinai kupeleleza , kuandika na kupeleka kesi mahakamani kwa ajili ya mahakama kutafsiri sheria.ninachotaka kujua hapa ni kwamba issue ya mdogo wako kupigwa danadana in husiana nini na kufoji cheti sasa hapa issue unayotaka kusema ni kufoji cheti au kutotendewa haki kwa mdogo wako ?na je mdogo wako amefanya jinai ipi? kuwa straight ili watu wajue wachangie nini?
kwa hiyo na yeye umemfungulia kesiWewe hujui mtu akifoji cheti anakuwa hana weledi? Kazi ya polisi ni kupokea malalamiko ya kijinai kupeleleza , kuandika na kupeleka kesi mahakamani kwa ajili ya mahakama kutafsiri sheria.