Tetesi: Polisi major Rajabu Chipila wa kituo kikuu polisi Dodoma adhulumu haki za kiraia

Kuna mmoja pale Central anaitwa Koplo Mtumweni lakini mtaani tumesoma nae anaitwa Fikirini.,.Mwenye cheti yupo halmashuri...
 
Mdogo wangu amepigwa na kutaka kuuawa na Mwl Salumu Kanyame lakini polisi hawajamkamata mtuhumiwa na siku kesi ilipotakiwa kwenda mahakamani anapigiwa simu mtuhumiwa anajibu ninakazi inapangwa Sikh nyingine.Major Rajabu Chipila ni mmakonde aliyenunua cheti cha Mwl Rajabu Chipila wa UDSM ambaye alimaliza Ndanda secondary miaka ya 1999 Mimi nikiwa ndanda sec form two namfahamu mwenye jina haliasi ambaye ni Mwl na si huyu polisi ambaye amefanya forgery.
Mwalimu Chipila amenifundisha Shahada ya Kwanza, nilistuka kuona jina lake... Kumbe alicheza 'fair' zama hizo. Kugawana ni kujali...
 
kuna mambo mawili hapa kipi unataka mkuu kutumbua 9000 au kutotendewa haki kwa mdogo wako
 
Ni hivi Mwl Salumu Kanyame wa UDOM anajua siri ya kufoji cheti cha huyu major kwa kuwa alisoma na Rajabu Chipila original hivyo haki haiwezi kutendeka kwani mdogo wangu anapigwa danadana mpaka navyokuambia mtuhumiwa hajakamatwa anakula bata akikingiwa kifua na major Rajabu Chipila fake
 
ninachotaka kujua hapa ni kwamba issue ya mdogo wako kupigwa danadana in husiana nini na kufoji cheti sasa hapa issue unayotaka kusema ni kufoji cheti au kutotendewa haki kwa mdogo wako ?na je mdogo wako amefanya jinai ipi? kuwa straight ili watu wajue wachangie nini?
 
Wewe hujui mtu akifoji cheti anakuwa hana weledi? Kazi ya polisi ni kupokea malalamiko ya kijinai kupeleleza , kuandika na kupeleka kesi mahakamani kwa ajili ya mahakama kutafsiri sheria.
 
kwa hiyo na yeye umemfungulia kesi
 
Back
Top Bottom