Tetesi: Polisi Mara: Vincent Nyerere anakuja kuratibu vurugu za UKUTA, tutamshughulikia

Tetesi: Polisi Mara: Vincent Nyerere anakuja kuratibu vurugu za UKUTA, tutamshughulikia

Mkuu kwa polisi kuendelea kujionyesha uhalisia wao hayo ndio mafanikio ya UKUTA

Labda wameona hii ndo njia sahihi itayofanya waongezewe kipato maana nao wamepigika kama sisi ila wanaogopa kutuunga mkono kudai haki zetu.
 
Hakuna bodaboda mwenye akili timamu bila kupewa posho na hela ya mafuta aanze tu kumfuata mtu nyuma eti kisa mwenyekiti wa chama cha siasa
 
Wanacheza ngoma wasiyo ifahamu kumbe hawajui wapiga ngoma ni vibwengo

Polisi wana maisha magumu sana kuanzia kwenye kota wanazoishi na wameshindwa kabisa kuibana serikali kuwatatulia changamoto zao lakini wamekua mstari wa mbele kuwashughulikia wote wanao onyesha njia ya kudai haki zao
 
Tanzania ya viwanda imekua ni tanzania ya kumshughulikia Lissu
Unafikiri ni kama mnavyotengeneza mbege za huko rombo kwamba unaamka leo kesho unatengeneza tu hujui kwamba ni suara la mda mrefu hatua kwa hatua.
 
Polisi wana maisha magumu sana kuanzia kwenye kota wanazoishi na wameshindwa kabisa kuibana serikali kuwatatulia changamoto zao lakini wamekua mstari wa mbele kuwashughulikia wote wanao onyesha njia ya kudai haki zao
Ndiyo mnavyodanganyana mnadhani mtatuvunja moyo wa kufanya kazi rahasha tutawabonda tu hata iweje.
 
Polisi wana maisha magumu sana kuanzia kwenye kota wanazoishi na wameshindwa kabisa kuibana serikali kuwatatulia changamoto zao lakini wamekua mstari wa mbele kuwashughulikia wote wanao onyesha njia ya kudai haki zao
Wao wanatumikia watawala tu lkn wanashindwa kujua kuwa tunaishi nao huku uraiani kwenye majumba yetu kindugu kabisa
 
Unafikiri ni kama mnavyotengeneza mbege za huko rombo kwamba unaamka leo kesho unatengeneza tu hujui kwamba ni suara la mda mrefu hatua kwa hatua.

Umeshindwa kutatua suala dogo la mishahara,umeshindwa kutoa pesa za pt/tp vyuoni,umeshindwa kuongoza nchi sasa suala kubwa la viwanda utaliweza?
Dawa yako ni UKUTA
 
Ikiwa ni muendelezo wa taharuki na hofu ya serikali,jeshi la polisi mkoani mara limeingia kwenye jaribu jingine la kutumika na serikali kuwashughulikia wanachama na viongozi wowote ambao wataonekana au watahisiwa wanaratibu zoezi la UKUTA kuelekea sep1.
Hali hii imejitokeza baada ya mwenyekiti wa chadema mkoa wa mara mh Vincent Nyerere akitokea butiama kwenye mazishi kuelekea nyumbani kwake musoma mjini,vijana wa boda boda walipomuona walilazimika kuunga msafara na kumsindikiza jambo hili lilimchefua moja wa afsa wa jeshi la polisi na ikapelekea kuagiza kikosi maalumu ili walishughulikie suala hilo,kutokana na Mh Nyerere kupata taarifa hii mapema kutoka kwenye chanzo cha jeshi la polisi moja kwa moja ilimlazimu asiingie katikati ya mji wa musoma na kuamua kurudi kata ya bweri musoma mjini anapoishi ili kuwaokoa vijana ambao walikuwa wanatakiwa kuja kushughulikiwa na jeshi la polisi.Ikawa ni kauli mbiu kila muda atapotoka nyumbani kwenda mahala popote ililazimika polisi kufuatilia nyendo zake ili wajue ametoka kwake kwa sabau gani na huko anakoenda anaendakufanya nini

Ikumbukwe katika kipindi cha uchaguzi ni hawahawa baadhi ya wakubwa wa polisi walikuwa wakiwalazimisha polisi wadogo kupiga mabomu wanachadema waliokuwa wakitembea kumsindikiza mgombea baada ya mikutano,ni hawahawa wakubwa wa polisi walishiriki na kutumia baadhi ya watu kutega vilipuzi ndani ya gari ya mgombea ili kummaliza,ni hawa hawa wakubwa wa polisi walikuwa wanawaachia vijana wa ccm waliokuwa wanawashughulikia kwa mapanga wafuasi wa chadema,ni hawahawa wakubwa wa jeshi la polisi waliahidiwa kupewa milioni 40 endapo wataisaidia ccm kushinda jimbo la musoma mjini.
Yapo mengi sana ya kusema ila kwa leo tuishie hapa ngoja tuone movie itavyoendelea.
Watamshughulikiaje? Maneno haya nakumbuka yalikatazwa na tume ya haki za binadamu.
 
Hahaha hawa wapo poa
Wanasubiri muda tu
Ukijichanganya huna kiuno na itakuwa hasara kwa mamako

doria.jpg

10.jpg

Fanya-Fujo-Uone-FFU_zpsa2f92db9.jpg

DSC_0420_zps54d6ef17.jpg

Vijana wacheni kufuata mkumbo
Mtaponzwa
 
Akileta ujinga ashughulikiwe bila huruma...
 
Hata gadafi alikuwa na jeshi kubwa na lenye nguvu kuliko la Tanzania lakini wananchi walipoamua kutafuta uhuru wao walimshinda
Hata gadafi alikuwa na jeshi kubwa na lenye nguvu kuliko la Tanzania lakini wananchi walipoamua kutafuta uhuru wao walimshinda

Nenda kaige upate cha moto
Leo hao wa libya unajua wanavyo sota?
wacheni kutumika hovyo
 
Kati ya wanasiasa ambao wameshindwa ku-take advantage Vincent Nyerere ni namba moja
 
Back
Top Bottom