Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,903
Alafu tunaambiwa tuwaombe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaaa....ushaambiwa nikutii amri hata kama siyo sahihi.....ndo kigezo kikuu cha ajiraKuna haja ya kulifumua upya jeshi la polisi , mfumo wake wa ajira ubadilishwe .
Hii movement IPO au ni comedy tuu za kisiasa??Movement ya UKUTA ikiisha itabidi irudishwe ya kudai katiba mpya
Haombwi mtu yeyote .Alafu tunaambiwa tuwaombe
Hakuna mkakati wa Chadema unaopita bila kuacha impact kwenye jamii labda wa Kilimo kwanza, maisha bora kwa kila mtanzania n.k (hayo ya nyinyiemu)ukutaa itapita kama m4c very smooth
Hiyo ya kudai katiba mpya waliiua siku nyingi walipoigeuza Ukawa kuwa genge la kampeniMovement ya UKUTA ikiisha itabidi irudishwe ya kudai katiba mpya