Tetesi: Polisi Mara: Vincent Nyerere anakuja kuratibu vurugu za UKUTA, tutamshughulikia

Mkuu kwa polisi kuendelea kujionyesha uhalisia wao hayo ndio mafanikio ya UKUTA

Labda wameona hii ndo njia sahihi itayofanya waongezewe kipato maana nao wamepigika kama sisi ila wanaogopa kutuunga mkono kudai haki zetu.
 
Hakuna bodaboda mwenye akili timamu bila kupewa posho na hela ya mafuta aanze tu kumfuata mtu nyuma eti kisa mwenyekiti wa chama cha siasa
 
Wanacheza ngoma wasiyo ifahamu kumbe hawajui wapiga ngoma ni vibwengo

Polisi wana maisha magumu sana kuanzia kwenye kota wanazoishi na wameshindwa kabisa kuibana serikali kuwatatulia changamoto zao lakini wamekua mstari wa mbele kuwashughulikia wote wanao onyesha njia ya kudai haki zao
 
Tanzania ya viwanda imekua ni tanzania ya kumshughulikia Lissu
Unafikiri ni kama mnavyotengeneza mbege za huko rombo kwamba unaamka leo kesho unatengeneza tu hujui kwamba ni suara la mda mrefu hatua kwa hatua.
 
Polisi wana maisha magumu sana kuanzia kwenye kota wanazoishi na wameshindwa kabisa kuibana serikali kuwatatulia changamoto zao lakini wamekua mstari wa mbele kuwashughulikia wote wanao onyesha njia ya kudai haki zao
Ndiyo mnavyodanganyana mnadhani mtatuvunja moyo wa kufanya kazi rahasha tutawabonda tu hata iweje.
 
Polisi wana maisha magumu sana kuanzia kwenye kota wanazoishi na wameshindwa kabisa kuibana serikali kuwatatulia changamoto zao lakini wamekua mstari wa mbele kuwashughulikia wote wanao onyesha njia ya kudai haki zao
Wao wanatumikia watawala tu lkn wanashindwa kujua kuwa tunaishi nao huku uraiani kwenye majumba yetu kindugu kabisa
 
Unafikiri ni kama mnavyotengeneza mbege za huko rombo kwamba unaamka leo kesho unatengeneza tu hujui kwamba ni suara la mda mrefu hatua kwa hatua.

Umeshindwa kutatua suala dogo la mishahara,umeshindwa kutoa pesa za pt/tp vyuoni,umeshindwa kuongoza nchi sasa suala kubwa la viwanda utaliweza?
Dawa yako ni UKUTA
 
Watamshughulikiaje? Maneno haya nakumbuka yalikatazwa na tume ya haki za binadamu.
 
Hahaha hawa wapo poa
Wanasubiri muda tu
Ukijichanganya huna kiuno na itakuwa hasara kwa mamako

Vijana wacheni kufuata mkumbo
Mtaponzwa
 
Akileta ujinga ashughulikiwe bila huruma...
 
Hata gadafi alikuwa na jeshi kubwa na lenye nguvu kuliko la Tanzania lakini wananchi walipoamua kutafuta uhuru wao walimshinda
Hata gadafi alikuwa na jeshi kubwa na lenye nguvu kuliko la Tanzania lakini wananchi walipoamua kutafuta uhuru wao walimshinda

Nenda kaige upate cha moto
Leo hao wa libya unajua wanavyo sota?
wacheni kutumika hovyo
 
Kati ya wanasiasa ambao wameshindwa ku-take advantage Vincent Nyerere ni namba moja
 
Nenda kaige upate cha moto
Leo hao wa libya unajua wanavyo sota?
wacheni kutumika hovyo
Ghadafi ndiyo sababu ya kusota kwao. Angewapa uhuru wa kuongea isingekuwa hivyo. Hakuna Mlybia mwenye amani kwa kuwa vita haina macho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…