Polisi: Marufuku kufanya Maandamano jijini Nairobi leo Julai 18

Polisi: Marufuku kufanya Maandamano jijini Nairobi leo Julai 18

Watanzania mko busy humu kupinga maandamano ya Wakenya. No wonder hakuna kinachoendelea Tz
 
Hahaha we jamaa, eti hawaeleweki wanataka nini wakati wameorodhesha mahitaji yao kwenye banner yao.?
Hii ndo ile ilimradi nami nimekoment🤣🤣
Huyo mtoa comment ndie hajielewi, vijana wa Gen Z wana uelewa mpana ambao yeye hawezi hata kuota kua nao
 
Back
Top Bottom