Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 32,246 Reaction score 31,176 Jul 18, 2024 #21 Vijana leo wameufyata.😎
Makorokoro Bondeni JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 1,300 Reaction score 1,969 Jul 18, 2024 #22 Piga nduru
RRONDO JF-Expert Member Joined Jan 3, 2010 Posts 55,727 Reaction score 123,094 Jul 18, 2024 #23 Watanzania mko busy humu kupinga maandamano ya Wakenya. No wonder hakuna kinachoendelea Tz
D DIRIMULAINA JF-Expert Member Joined Jul 12, 2018 Posts 921 Reaction score 1,720 Jul 19, 2024 #24 fyddell said: Hahaha we jamaa, eti hawaeleweki wanataka nini wakati wameorodhesha mahitaji yao kwenye banner yao.? Hii ndo ile ilimradi nami nimekoment🤣🤣 Click to expand... Huyo mtoa comment ndie hajielewi, vijana wa Gen Z wana uelewa mpana ambao yeye hawezi hata kuota kua nao
fyddell said: Hahaha we jamaa, eti hawaeleweki wanataka nini wakati wameorodhesha mahitaji yao kwenye banner yao.? Hii ndo ile ilimradi nami nimekoment🤣🤣 Click to expand... Huyo mtoa comment ndie hajielewi, vijana wa Gen Z wana uelewa mpana ambao yeye hawezi hata kuota kua nao
D DIRIMULAINA JF-Expert Member Joined Jul 12, 2018 Posts 921 Reaction score 1,720 Jul 19, 2024 #25 Makiwendo said: Safi.... Kila jambo liwe na kiasi... Maana sasa hivi hawaeleweki hata wanataka nini... Click to expand... Wewe ndie hueleweki maana hawajakualika uwasidie kuandamana
Makiwendo said: Safi.... Kila jambo liwe na kiasi... Maana sasa hivi hawaeleweki hata wanataka nini... Click to expand... Wewe ndie hueleweki maana hawajakualika uwasidie kuandamana