Kitu cha kwanza baada ya Lissu kutwaa madaraka Jeshi la polisi lifutwe
Ndugu mbona ushabik umezid hapo.Kitu cha kwanza baada ya Lissu kutwaa madaraka Jeshi la polisi lifutwe
baada ya kulivunja litaundwa upyaNdugu mbona ushabik umezid hapo.
Umefikiria kwa kutumia nn uliposema jeshi la polis lifutwe?
Unajua kazi za halali za jeshi la polis kweli!Na je, baada ya Jeshi la Polis kufutwa majukum yake nan atafanya?
Vipi kuhusu hali ya usalama wa raia na mali zao utakavyokuwa.
baada ya kulivunja litaundwa upya
Kuvunja tuu haitoshi, hawa wote walio sababisha hasara hiyo ya kuvunja jeshi zima LA polisi waende jela kwa matumizi mabaya ya ofisi na kuleta maafa kwa watu.baada ya kulivunja litaundwa upya
Police wanaiuhujumu ccm wanatufanyia kazi nzuri Sana ya kuibomoa ccm ichukiwe na wananchi big up polisiPoliccm wanavuruga amani