Uchaguzi 2020 Polisi Mbarali wavamia msafara wa mgombea Ubunge wa CHADEMA na kulipua mabomu

Uchaguzi 2020 Polisi Mbarali wavamia msafara wa mgombea Ubunge wa CHADEMA na kulipua mabomu

Hamna walipo vamiwa chadema sometimes sijui tunafeli wapi mm nilkuwepo eneo la tukio mwanzo mwisho campaign pamoja na maandamano mwisho saa 12 but Jana saa 2 usiku chadema wapo barabarani na maandamano ya mbuge kutoka kwny campaign

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya tarehe 28/10 huyu mkuu wa polisi tunamuozesha kwa beberu,mpaka atuzalie watoto
 
tena jana polisi walikosea ilitakiwa wawavunje miguu kabisa hao chadema coz wamesha jua kura wamesha poteza so wameanza chokochoko wapate kizingizio . hiyo issue ilikua chimala but mtoa maada analilia na uongo mwingi anatafuta huruma msipo tii sheria mtapigwa 2

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kumbukumbu hizi zitunzwe kwa matumizi ya baadaye huko ICC , Nyinyi polisi uchwara unaotumiwa na CCM si mko humo sisi wananchi tuko wengi tukichoka hamtuwezi , halafu zingatieni yafuatayo mnapopokea amri . Kuna amri halali na amri haramu fuateni sheria na katiba msije kusema hatukuwaambia .
 
Huyu mshenzi alitakiwa ang'ang'aniwe na wananchi hadi kileleweke ili sasa polisi-ccm waelewe kuwa sasa raia wamechoka kuonewa!
 
Huyu mshenzi alitakiwa ang'ang'aniwe na wananchi hadi kileleweke ili sasa polisi-ccm waelewe kuwa sasa raia wamechoka kuonewa!
 
Wewe mtoa uzi rekebisha maelezo yako, Mbarali kuna vituo vidogo Vinne, na hicho Mbarali ulichokitaja kipo Ubaruku tulipo sisi wakulima wa mpunga. Na hakuna tukio kama hilo limetokea huku Ubaruku.
Lete taarifa sahihi.
 
huyu kasimuliwa hii issue ilikua Jana chimala chadema wapo kwenye maandamano na mgombea saa 2 usiku ndo police waka watawanya ndo wanalilia apa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mtoa uzi rekebisha maelezo yako, Mbarali kuna vituo vidogo Vinne, na hicho Mbarali ulichokitaja kipo Ubaruku tulipo sisi wakulima wa mpunga. Na hakuna tukio kama hilo limetokea huku Ubaruku.
Lete taarifa sahihi.
Chimala
 
Chadema ndiochama kinachoongoza kwakuvunja sheria za nchi.
 
Back
Top Bottom