Uchaguzi 2020 Polisi Mbarali wavamia msafara wa mgombea Ubunge wa CHADEMA na kulipua mabomu

Viongozi wa Chadema waliporudi kituoni kuripoti hilo tukio, Bw. Temu amewaambia kwamba ni kweli mabomu amepiga yeye na ametumwa na IGP Sirro na CCM na hakuna atakalofanywa. Na tayari ameshawafungulia wanachadema Kesi. Baada ya hiyo kauli, Bw. Temu amekimbia kutoka kituoni kwenda kusikojuliana.[emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji23][emoji23][emoji23] huyu amepata cerebral malaria
 
Sijui wanamtetea vipi mtu asiyewaji ambae kuanzia 28 atokuwepo atakuwa raia tu kijijini kwake au the Hague. Ujaongezewa mshahara 5 yrs umewekewa kikokotoo kukunyima haki yako unampiga vipi mabomu mtu anaekuja kukukomboa.
 
Hii nchi iko siku tutagawana fito.Kwasababu kwa kadri siku zinavyoenda ndo tunaona kabisa kuna vyombo vyaserekali vinataka kuifanya siasa iwe mbaya kwasababu zao zakijinga wanazozijua wao,sasa sidhani kama watu wataendelea kuvumilia huu upumbavu miaka yote.Nakwasababu tuna akili ndogo ata hatujifunzi kwa wenzetu,aidha mambo mabaya yaliyowakuta au mazuri wanayoyafanya.Tumekaa kaa tu.bure kabisa.
 
Hebu sasa tuacheni kukaa na kulalamika maana sasa haisaidi hebu tufanye kitu. Leo tunachukulia kwamba haya hayatuhusu kama huko nyuma wafanya biashara wengi walikimbili CCM naokuwachukia sana wapinzani ila kwa miaka hii mitano nazani hawataki kusikia tena ila pia watu wakasema vizuri maana walikuwa wanakwepa kodi, wanafunzi nao wanaosoma vyuo wameongezewa tozo wamekaa kimya sasa hii nchi hakuna uhuru kabisa wala haki yani ni unanyangau unafanyika tu.
 
Polisi wa hii nchi watakuaje na weledi wakati maisha yao tu wanayoishi wana changamoto kibao.Wanachosahau nikwamba watu sio kwamba wanawaogopa bali wanawaheshimu sasa wanaporomosha heshima yao wenyewe kijinga.Kila siku malalamiko ni dhidi yao tena kwa mambo ya ovyo ovyo yasiyolisaidia taifa.Unaumiza watz wenzako kwasababu ya siasa zilizokuja tu natutaondoka tutaziacha.
 
Sio vibaya Polisi kufanya Ghasia ili kuleta Amani ,mambo ya ajabu kabisa haya yanafanyika halafu kwa Wapinzani tu haswa Chadema.
 
Wakati serikali ina hamasisha watu wajitokeze kujiandikisha kupiga kura chadema walikua wakihamasisha wasiende mbaka ipatikane katiba Mpya, sasa kampeni zimeanza wanadai wananyanyaswa na baada ya matokeo watadai wameibiwa kura. Hii inaonyesha chadema bado hawajawa tayari kama chama cha siasa, ni kama kijiwe cha wana harakati.
 
Endelea kuweka video zingine ili tuwe na ushahidi wa kutosha!!
 
Mnawazuia raia wa nini? Waacheni wachukue hatua! Hicho kituo kinafanya nini hapo? Waacheni raia wakitie moto,, pumbavu kabisa mapolisi ya Tanzania hayajielewi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…