Polisi wamebananishwa hadi wanaikimbia kituo chao
Duuhh[emoji1]Chadema acheni kuvunja sheria
huyu kasimuliwa hii issue ilikua Jana chimala chadema wapo kwenye maandamano na mgombea saa 2 usiku ndo police waka watawanya ndo wanalilia apaWewe mtoa uzi rekebisha maelezo yako, Mbarali kuna vituo vidogo Vinne, na hicho Mbarali ulichokitaja kipo Ubaruku tulipo sisi wakulima wa mpunga. Na hakuna tukio kama hilo limetokea huku Ubaruku.
Lete taarifa sahihi.
ChimalaWewe mtoa uzi rekebisha maelezo yako, Mbarali kuna vituo vidogo Vinne, na hicho Mbarali ulichokitaja kipo Ubaruku tulipo sisi wakulima wa mpunga. Na hakuna tukio kama hilo limetokea huku Ubaruku.
Lete taarifa sahihi.