KING COBRA
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 2,782
- 875
Mwanafunzi wa kike anayefahamika kwa jina la Betha Ally John (16) wa Kidato pili katka Shule ya Venessa iliyopo kata ya Isyesye Mbeya amekuwa na mahusiano ya ngono na Mwalimu wake wa somo la Geography aitwaye JOHN MATHIAS MAPUNDA tangia mwaka 2011.
Katikati ya Mwaka huu wazazi wa mwanafunzi waliweka mtego wakiwashirikisha polisi baada ya mwanafunzi huyo kuto onekana kwa siku tatu mfululizo na aliporejea ,alibanwa na kueleza bayana kuwa ametoka kwa Mwalimu John Mapunda.
Polisi walimupeleka mtoto huyo hospitalini na vipimo vikaonyesha ana maambukizi ya UKIMWI!!!
Polisi waliopewa kazi ya kupeleleza ni Afande Mwashiwuya na Afande Mwambembe lakini waligonga mwamba baada ya Mkurungenzi wa Shule hiyo aitwaye Bi Shukran Gideon Mwasanjobe kwenda polisi na kumuhonga afande JUSTINE KAYOMBE ambaye alifanya njama za kuvuruga kesi hiyo ambapo hadi sasa mtuhumiwa hajakamatwa. Imefahamika kuwa Mkurungenzi ni family frendy na Mwl Mapunda.
Katika hali ya Kushangaza Mwalimu John Mapunda alifukuzwa kazi katika Shule ya Montifoti kwa kashfa ya kufumaniwa na Mwanafunzi na hali hiyo ikapelekea Mkewe kumkimbia.
Wazazi wa mtoto Betha wanalalamika kuwa mtuhumiwa hajakamatwa na hadi wiki iliyopita anaonekana katika maeneo ya polisi akiwa na Afande Justine .
Source: Wazazi wa Betha.