Polisi Mbeya na Kashifa ya Mwanafunzi Kubakwa na Mwalimu Wake

Polisi Mbeya na Kashifa ya Mwanafunzi Kubakwa na Mwalimu Wake

KING COBRA

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2011
Posts
2,782
Reaction score
875
Mwanafunzi wa kike anayefahamika kwa jina la Betha Ally John (16) wa Kidato pili katka Shule ya Venessa iliyopo kata ya Isyesye Mbeya amekuwa na mahusiano ya ngono na Mwalimu wake wa somo la Geography aitwaye JOHN MATHIAS MAPUNDA tangia mwaka 2011.

Katikati ya Mwaka huu wazazi wa mwanafunzi waliweka mtego wakiwashirikisha polisi baada ya mwanafunzi huyo kuto onekana kwa siku tatu mfululizo na aliporejea ,alibanwa na kueleza bayana kuwa ametoka kwa Mwalimu John Mapunda.
Polisi walimupeleka mtoto huyo hospitalini na vipimo vikaonyesha ana maambukizi ya UKIMWI!!!

Polisi waliopewa kazi ya kupeleleza ni Afande Mwashiwuya na Afande Mwambembe lakini waligonga mwamba baada ya Mkurungenzi wa Shule hiyo aitwaye Bi Shukran Gideon Mwasanjobe kwenda polisi na kumuhonga afande JUSTINE KAYOMBE ambaye alifanya njama za kuvuruga kesi hiyo ambapo hadi sasa mtuhumiwa hajakamatwa. Imefahamika kuwa Mkurungenzi ni family frendy na Mwl Mapunda.

Katika hali ya Kushangaza Mwalimu John Mapunda alifukuzwa kazi katika Shule ya Montifoti kwa kashfa ya kufumaniwa na Mwanafunzi na hali hiyo ikapelekea Mkewe kumkimbia.

Wazazi wa mtoto Betha wanalalamika kuwa mtuhumiwa hajakamatwa na hadi wiki iliyopita anaonekana katika maeneo ya polisi akiwa na Afande Justine .

Source: Wazazi wa Betha.
 
Pole kwa mwanafunzi kwa kuambukizwa hiv. Ila mpaka hapa umemvunjia privacy yake kama mgonjwa na kama mbakwaji. Ndo maana hata kesi za ubakaji huwa hawamtaji mwathirika hadharani kwani jamii itamnyanyapaa.
 
Jamani unapotaka kuripoti jambo ni lazima uwe umejiridhisha,unajua namna ya kuripoti jambo na siyo kuandika majina ya wa2 kwa kuyachafua. Je, umefanya uchunguzi kuwa huyo mwanafunzi alianza kufanya mapenzi na huyo mwalimu tu? kucje kukawa kuna foleni ya vijidume vingine.
 
Mwalimu na Mwanafunzi ndio wa kwanza kuvunja privancy na maadili kwa kujihusisha na zinaa!!!
Angetaka privancy asingevua nguo mbele za Mwalimu na Mbele za Mungu!!!
 
Mimi nimefatilia sana na nimepata Ushahidi Mzito Kwa sasa Polisi wanahaha kumukamata mhusika ,labda kama una undugu na mtuhumiwa
 
Kwa nini wahahae wakati umeshasema afande justine ankuwa nae maeneo ya polisi? vp kuhusu tuhuma ya rushwa bado polisi wanahaha kuithibitisha?mwisho huyo mwalimu japo wa kiume apelekwe kuleee kusini kwa wanafunzi wabakaji nae aliwee k.ma pori yake!
 
Da asa
Hapo kwenye maambukiz ndo pafkriwe kiundan
Na hzo rushwa pia znakwamusha kutoa funzo hapo
 
Yaani wewe mwenyewe useme mtuhumiwa anaonekana na askari justine na pia useme wanahaha kumkamata? Au kuhaha ndo kufanyaje? Huo ushahidi mzito unakaa nao wa nini sasa? Yaani inaonekana kila kitu unajua...badala ya kwenda hata kwa RPC na PCCB unalalamika hapa?
 
Mwalimu na Mwanafunzi ndio wa kwanza kuvunja privancy na maadili kwa kujihusisha na zinaa!!!
Angetaka privancy asingevua nguo mbele za Mwalimu na Mbele za Mungu!!!

Ugonile mwamakula, unatumia kinywaji gani tafadhari? You have made my day
 
Yaani wewe mwenyewe useme mtuhumiwa anaonekana na askari justine na pia useme wanahaha kumkamata? Au kuhaha ndo kufanyaje? Huo ushahidi mzito unakaa nao wa nini sasa? Yaani inaonekana kila kitu unajua...badala ya kwenda hata kwa RPC na PCCB unalalamika hapa?

jf ni zaidi ya RPC/PCCB ndugu yangu. Ukitaka kujua kwamba yanayoongelewa humu yanawafikia walengwa fuatilia wanaoitukana jf kwenye radio, tv nk. Ukienda polisi na TAasisi ya KUkuza na KUpamba RUshwa utaishia kujikuta unatengenezewa kesi na kufungwa. Vyombo vyetu vya usalama vimepoteza mwelekeo kabisa ndo maana wanauana wao kwa wao. Sad enough wanaouliwa ni wale wema. Hii nchi inatawaliwa na mafia ambao wao kuua na kupoteza ushahidi kwa maslahi yao ni kawaida
 
Moderator ondoa majina ya hao wahusika hapa, ni kinyume cha sheria na uungwana kutaja majina ya watu na hali zao za kiafya hadharani tena bila consent yao, this is defamation. Huu ni mlolongo wa matukio yatakayoshusha heshima za JF.
 
kwa maadili ya uandishi siyo jambo jema kutaja jina la victim ambaye ni huyo mwanafunzi.tatizo hapa linaonekana victim aliridhia kungoneka na mwalimu wake ambaye yuko babkrupt kimaadili. wazazi nao inaonekana wamezembea kwa kutochukua hatua mapema kuzuia hayo kutokea.yote kwa yote mtuhumiwa akamatwe na victim apewe moyo the world is upside down.
 
Mwalimu John Mapunda wa Shule ya Sekondary Venessa Mkoani Mbeya ametiwa Mbaloni jana jioni kwa Kosa la Ubakaji
Bi Shukran Gideon Mwasanjombe (0762 182740) anahaha kutafuta dhamana:
Source:RPC Mbeya
 
kwaiyo iyo rushwa ime expire au ndo kama kawa uchochez na uzush plus uzandik?nilishangaa sana ile thread.
 
Kwa maadili ya wanafunzi wa siku hizi kwel kabisa walimu wanakabiliwa na changamoto nyingi.wanafunzi wa kike wanafikia hatua za kuwatega walimu wao na ikibidi mpaka kuwatongoza!nadhan elimu itolewe hasa kwa wanafunzi wa kike maana wao ndo wahanga wakubwa ktk mahusiano haya!inawezekana kbs kuwa mwanafunz ndo kamsababishia virusi mwalimu wake!
 
Mimi nimefatilia sana na nimepata Ushahidi Mzito Kwa sasa Polisi wanahaha kumukamata mhusika ,labda kama una undugu na mtuhumiwa

issue siyo tu privacy ya mbakwaji lakini pia unaweza kuwatia matatani hata hao polisi wapelelezi kuonekana kama wao ndio wamekupa wewe taarifa juu ya sakata hilo.
 
issue siyo tu privacy ya mbakwaji lakini pia unaweza kuwatia matatani hata hao polisi wapelelezi kuonekana kama wao ndio wamekupa wewe taarifa juu ya sakata hilo.
Kuwaficha ficha wahalifu ndiko kunalinda uhalifu baada ya kuwa anika hapa wamemkamata Mtuhumiwa!!!
wewe unazungumza hivyo kwa kuwa hujui mambo mengine , Suala la kuhoji hapa ni kwa nini Mtuhumiwa atende kosa hilo mwezi wa tano halafu anakamatwa mwezi kwa kumi na mbili ???
Tusinge aanika hapa jf majina yao hatua zisingechukuliwa !!!!
Polis wameprint taarifa ya thread hii na kutumia simu zilizopostiwa na kumkamata mtuhumiwa!!
Privancy is there for people who respect the privancy anda humanity where God is the key issue!!!
Afichaye dhambi hatafanikiwa!!
 
Back
Top Bottom