Polisi Mbeya saidia, Wananchi wanataka kuanza kuchota mafuta na kuiba Betri

Polisi Mbeya saidia, Wananchi wanataka kuanza kuchota mafuta na kuiba Betri

Kitendo cha kusimama tu hapo ni ukosefu mkubwa wa akili.... Labda uniambie watu walioko hapo wanataka kujiua 🤣🤣🤣

Hata wasipochomoa battery hutoweza kujua moto umetokea wapi
Mfano mafuta yanayotiririka mtaroni yanaweza kuwa yamefika mbali mwehu mmoja akaamua kuwasha kiberiti moto ukatoka huko huko hadi hapo... Wote waliosimama hapo washtakiwe kwa kosa la kutaka kujiua
 
Mnatengeneza ajali wenyewe na kuamua kufa kiboya

Haya matukio ya tank kuwaka yanajirudia sana Africa na nchi njaa

Atakuja mjinga na sigara hapo mda si mrefu
 
Mgodi huo wanangu wa chuma chakavu kuna betri linazagaa hapo
 
Ajali kubwa ya moto kwa gari la mafuta hapa Tanzaniakabla ya ile ya Msamvu ilitokea hapo hapo Mbeya miaka ya mwanzoni mwa 2000 au mwishoni mwa miaka ya 90, hapo ndipo neno kuchomoa betri liliponzia, Ambapo mtangazaji wa ITV Rainford Masako ndiye aliyesema kwamba wakati watu wengine na viduu vyao wakigombea mafuta , ndipo jamaa mmoj ayeye akaona aibe betri, ndipo alipoichomoa na kusababisha moto mkubwa.Ajali ile ilifyeka zaidi ya watu 100
 
Hii Barabara kipande cha kuanzia Igawa hadi Tunduma ni deadly..serikali iwe serious kupanua Barabara hii kuepusha ajari zisizo na ulazima
 
Back
Top Bottom