Mbinu za kibiashara😂😂Huyu bwana kipaji cha kuimba hana ila anapambana sana,nimuite ni mpambanaji ila sio msanii mwenye takent.
Kuna story vijiweni kuwa anajizushia vifo nara jadhaa ili atrend kazi zake zitrend.
Kutokana na upeo wake mdogo hajui kama kujizushia kifo ni kosa kisheria maana anazusha taharuki kwa jamii,.
Polisi kamateni huyu mtu haraka
Huyu bwana kipaji cha kuimba hana ila anapambana sana,nimuite ni mpambanaji ila sio msanii mwenye takent.
Kuna story vijiweni kuwa anajizushia vifo nara jadhaa ili atrend kazi zake zitrend.
Kutokana na upeo wake mdogo hajui kama kujizushia kifo ni kosa kisheria maana anazusha taharuki kwa jamii,.
Polisi kamateni huyu mtu haraka
Bony Mwaitege hajui kuimba mkuu kuwa serious?Huwa anaimba kama anazungumza, ila watu wa Mbeya huwaelezi kitu kumuhusu!
HajuiBony Mwaitege hajui kuimba mkuu kuwa serious?
Nitajie msanii mmoja anayeimba bila kuzungumza.Huwa anaimba kama anazungumza, ila watu wa Mbeya huwaelezi kitu kumuhusu!
Sawa, ila wewe nawe unatuletea stori za vijiweni, sasa itabidi polisi wazunguruke vijiwe vyote nchini ili wapate ushahidi usio na shaka wa kuweza kumkamata! Imbombo inunu fyigyo mnyambala.Huyu bwana kipaji cha kuimba hana ila anapambana sana,nimuite ni mpambanaji ila sio msanii mwenye takent.