Polisi mkamateni Bony Mwaitege kwa kujizushia kifo ili atrend

Huyu bwana kipaji cha kuimba hana ila anapambana sana,nimuite ni mpambanaji ila sio msanii mwenye takent.

Kuna story vijiweni kuwa anajizushia vifo nara jadhaa ili atrend kazi zake zitrend.

Kutokana na upeo wake mdogo hajui kama kujizushia kifo ni kosa kisheria maana anazusha taharuki kwa jamii,.

Polisi kamateni huyu mtu haraka
Nashukuru Mungu sijawahi hata Kumkubali wala tu kupoteza muda kusikiliza Nyimbo zake hivyo afe awe hai kazi Kwake.
 
Huyu bwana kipaji cha kuimba hana ila anapambana sana,nimuite ni mpambanaji ila sio msanii mwenye takent.

Kuna story vijiweni kuwa anajizushia vifo nara jadhaa ili atrend kazi zake zitrend.

Kutokana na upeo wake mdogo hajui kama kujizushia kifo ni kosa kisheria maana anazusha taharuki kwa jamii,.

Polisi kamateni huyu mtu haraka
Una ushahidi ?
 
Nilishangaa sana. Eti watu wamemzushia kifo. Watu wanakuzushiaje kifo?. Hapo tu ndipo nilipochoka.
 
Na yale manguo nguo yake polisi wakienda kumkamata waende na viwembe wapunguze hatatoshea kwenye difenda yule na maparachuti yake yale
 
Hadi kuwepo na ushahidi kuwa source ya taarifa ilianzia kwake, kumpeleka mtu mahakamani bila ushahidi siyo kazi rahisi kama hivyo
 
polisi,wakimkamata kama main suspect na wakafanya uchunguzi kukusanya ushahodi ndio wampeleke mahakamani
 
Aina ya kosa haimlazimishi polisi kumkamata kabla ya kupata ushahidi, ni kosa ambalo ushahidi unatakiwa upatikane kwanza alafu ndo akamatwe
 
Taharuki ni kosa kisheria ,sio lazima apigwe pingu,aitwe atoe maelezo fail la uchunguzi lifunguliwa
 
Kwa sasa yeye ni muhanga, anaepaswa kukamatwa ni msambazaji wa kwanza wa taarifa hiyo yeye ndo mtuhumiwa akithibitisha kuwa hizo taarifa alizitoa kwa huyo muhanga hapo sasa wote wanastahili kuunganishwa kwenye hilo kosa
 
Huyu bwana kipaji cha kuimba hana ila anapambana sana,nimuite ni mpambanaji ila sio msanii mwenye takent.

Kuna story vijiweni kuwa anajizushia vifo nara jadhaa ili atrend kazi zake zitrend.

Kutokana na upeo wake mdogo hajui kama kujizushia kifo ni kosa kisheria maana anazusha taharuki kwa jamii,.

Polisi kamateni huyu mtu haraka
Wanyakyusa ushamba umezidi
 
Back
Top Bottom