Polisi mkamateni Bony Mwaitege kwa kujizushia kifo ili atrend

Polisi mkamateni Bony Mwaitege kwa kujizushia kifo ili atrend

Muacheni bwana mwaitege sema nini nimeongea naye asubuhi amekubali kuja kuperform kwenye Kijiji chetu ,Sasa nasubiri nione anavyoruka bila step kwenye jukwaa tumeshalitegeshea kwaajili yake ,haiwezekani kila mwaka ananipa kazi ya kuwaaminisha wanakijiji hajafa ni mzima
 
Kwa sasa yeye ni muhanga, anaepaswa kukamatwa ni msambazaji wa kwanza wa taarifa hiyo yeye ndo mtuhumiwa akithibitisha kuwa hizo taarifa alizitoa kwa huyo muhanga hapo sasa wote wanastahili kuunganishwa kwenye hilo kosa
Unajua hili jambo sio mara ya kwanzana polisi wamepuuzia maana sio VIP ingekuwa ni kiongozi wa chama au serikalu au msanii mkubwa ,polisi na TCRA wangeshamkamata
 
Nashukuru Mungu sijawahi hata Kumkubali wala tu kupoteza muda kusikiliza Nyimbo zake hivyo afe awe hai kazi Kwake.
Angalau unamjua wakati yeye hakujui kabisa chuki zako dhidi yake hazimpunguzii chochote
 
Back
Top Bottom