Polisi mkoani Dodoma wapiga marufuku wanawake kupanda boda boda kwa kujibinua

Wawache bhana waonyeshe chura
 
Lakini mwandishi, nadhani ungesema mjini au jijini Dodoma kuliko kusema mkoani Dodoma. Mkoa Ni kitu kikubwa na kinajumuisha wilaya zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…