Polisi mkoani Dodoma wapiga marufuku wanawake kupanda boda boda kwa kujibinua

Polisi mkoani Dodoma wapiga marufuku wanawake kupanda boda boda kwa kujibinua

Badala ya waongeze nguvu uko Dar kupambana na panya buku wamehamia kushughulika na makalio Agwe mahala musina?
 
Hata wasipovaa pichu sawa tu.
Tumeshazoea hayo makalio yao bandia.
 
Hao wanaojibinua wamevunja sheria ipi?

Je polisi watatumia kipimo gani kuthibitisha kuwa huyu kajibinua?
 
Back
Top Bottom