Polisi mkoani Dodoma wapiga marufuku wanawake kupanda boda boda kwa kujibinua

Polisi mkoani Dodoma wapiga marufuku wanawake kupanda boda boda kwa kujibinua

Kasheshe! Lakini ni salama zaidi kuliko wale wanaosoma Facebook enroute.
 
Umefikia wakati wote watakuwa sawa sasa.

Kama nawaona wale wakavu wenzangu. 😂😂
 
Kifungu no. Ngapi cha sheria kinasema hivyo?
 
Makalio sasa ni agenda ya taifa...

So sad
 
Wanalipendezesha jiji waaacheni bana.....ke ni pambo la nyumba/jiji...mkikosa watalii mnaanza kulia lia.....oooh! Hawaji siku hizi..
 
Police Dodoma wivu utawaua. Mnaona tunafaidii. Na nyie tokeni ofisini mje tufaidi wote mitaani
 
Pole sana wana Dadoma...

Huku Dar wanajibinua wanavyotaka na hawana haina...
 
Kama iv
 

Attachments

  • Jamani @bongosweethearts@bongosweethearts #dodoma #mbeya #singida #tanzania #daressalaam #mo...mp4
    6 MB
Back
Top Bottom