Ole jaminati
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 242
- 223
Walichofanya plc ni ukatili kwa hao wanajeshi hata makaburu hawakufanya hv kwa wa SA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
... ukisikia jambo limezua jambo ndio kama hivi! In short Lijenje seems to be no more! Kwa heshima na taadhima Kingai na timu yake waeleze tu walikomtupa ili angalau mabaki yaweze kuzikwa kwa heshima za kijamii, kidini, na kifamilia....
Haya,shahidi anasema Goodluck alimwambia tutakutupa kama Moses Lijenje ukijifanya jeuri, huku polisi mmekana kumpata Moses Lijenje. Iko siku Goodluck atasema mlimtupa wapi.
...
Daah polisi wakatili sanaKwa katiba ya jamuhuri ya Muungano wa Tanzania hakuna aliyejua ya sheria na kila mtu ni innocent kabla ya hukumu, Wallah Wabillah Taallah kwa ushahidi walioutoa mmefanya ukatili wa hali ya juu sana kupita kiasi...
Tz hatuna polisi, tuna majambazi yanayoitwa polisiDaah polisi wakatili sana
... wahawataki kuingilia uhuru wa mahakama nadhani!Kwanini Jeshi limekaa kimya???
... kila siku Tundu Lissu anahubiri habari hizi lakini kama vile haeleweki!Tz hatuna polisi, tuna majambazi yanayoitwa polisi
Hatuna Polisi Tanzania ila genge la wahuni na majambazi Kwenyne uniformYaani Mungu ameamua kuonyesha maovu ya serikali ya Ccm kupitia hii kesi..
Haikuja kwa bahati mbaya yote ni mipango ya Mungu ili siku atakapo amua kuilipiza hii laana kwa wana Ccm na maovu yao wasije sema laana ime toka wapi...
Aise yaani wanajeshi wa bongo wanafanyiwa hivi
Ova
Watz tunatakiwa kuungana na jw kulinda heshima ya jeshi letu la wananchi dhidi ya jeshi dharimu la ccm linalojiita polisiView attachment 1956136
Itabidi aje awasaidie. Hadi Luteni Urio naye anapigwa na kuminywa kende na vibaka wa Siro wasiojua hata maana ya PGO!!!? Jeshi limedhalilishwa sana!
Unaulizia kunguni utawapata wapi SEROIna maana polisi walishamuua Lijenje!!!
Yaani hawa Polisi ni zero kabisa, Mnadai Moses hamkumpata sasa, Yepi yatampata Goodluck kama ambavyo yamempata Moses ambaye hamkumpata? Mission za ovyo kabisa, zinadharirisha taifa kwa kuajiri watu wasio na weredi kama Kina Mahita na Kingai!!!Haya,shahidi anasema Goodluck alimwambia tutakutupa kama Moses Lijenje ukijifanya jeuri, huku polisi mmekana kumpata Moses Lijenje. Iko siku Goodluck atasema mlimtupa wapi.
Acha kuweka tafsiri zako potofu hapaKwa katiba ya jamuhuri ya Muungano wa Tanzania hakuna aliyejua ya sheria na kila mtu ni innocent kabla ya hukumu, Wallah Wabillah Taallah kwa ushahidi walioutoa mmefanya ukatili wa hali ya juu sana kupita kiasi, maana mpaka sasa kwenye ushindi wa pande zote mbili hakuna hisia za ugaidi hapa zaidi ya uonevu tu. Hakuna si upande wa utetezi wala upande wa mashtaka kwa ushahidi uliotolewa mtu unaweza kusema hawa ni magaidi hata kama hukumu ya mahakama bado.
Mmeamsha hisia za watu, hawa walikua ni makomandoo hamjui wameacha jamaa zao wangapi kule kazini, wanafamilia na wana wazazi wao walivuja majasho kuwalea. Basi mfanye hayo yote kwa kosa linalodhihirika, hapa tunasikia kua walikamatwa tuu walikua wakila njama za kulipia vituo vya mafuta kwa ujira wa laki 6. Tunajua ushahidi wa Mbowe utahitimisha kila kitu, mmeitonesha jamii, mmeumiza watu mno.
Kingai na Mahita kama maafisa wa polisi wanatajwa sana kuongoza hili zoezi, hivi wao si binadamu? Kweli mti ambaye tu hana historia ya tukio baya kwenye jamii tena wengine tunaambiwa ni wachamungu mnawakatili kiasi hicho?
Hiki kiburi cha utesaji kwa ukatili huu kinatoka wapi? Shida ni Mbowe tuu au kitu gani kuumiza watoto wa watu kiasi hiki?
Haya,shahidi anasema Goodluck alimwambia tutakutupa kama Moses Lijenje ukijifanya jeuri, huku polisi mmekana kumpata Moses Lijenje. Iko siku Goodluck atasema mlimtupa wapi.
Mungu atie ukuu wake katika hili, wenye roho za Wanyama na wageuke kua wanyama kama Nguruwe.
Hii mbegu inayopandwa itamea na ipo cku itazaa matunda[emoji848]Aise yaani wanajeshi wa bongo wanafanyiwa hivi
Ova