Polisi mlichowafanyia hao wanajeshi kwa ushahidi wao mmewakomoa ila mnatia hasira

Polisi mlichowafanyia hao wanajeshi kwa ushahidi wao mmewakomoa ila mnatia hasira

Acha kuweka tafsiri zako potofu hapa

Kuanzia mwanzo mashahidi wa serikali walisema mpaka wanaondoka Moshi hawakumkamata Moses Linjenje.

Maelezo ya utetezi kila oanayehojiwa anadai hakuwahi kuonana na Moses Linjenje wala kumwona akikamatwa na polisi

Kutegemea taarifa ya upande mmoja wa utetezi kwamba walitishiwa kwamba wasingekiri wangefanya kama alivyofanyiwa Moses Linjenje haithibitishi Moses Linjenje alikamatwa na nani na walimfanya nini, lini, wapi kwa jinsi gani na kwanini?
[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Bora JK aliundaga tume kuchunguzaga yale mauaji ya wafanyabiashara wa madini kutoka Mahenge waliotolewa uhai na polisi magaidi.

Yule Zombe sijui yupo wapi sasa hivi ,maana wale maaskari wenzake wengi walikufa hata kabla kesi haijaisha
 
Alishafariki,laana haiwezi kukuacha salama
 
Mama SSH kama ananwashauri ......avunje kikosi cha mauaji na kuunda tume huru kijaji kuchunguza kikundi hicho...anzia kwa Hamza hadi kesi ya Mbowe hakuna alie juu ya sheria....wananuka damu za watu..
Juzi juzi tu hapa katoka Kigali baada ya IGP, ataanzaje kuvunja kikosi cha wauaji?
 
Yaani Mungu ameamua kuonyesha maovu ya serikali ya Ccm kupitia hii kesi..
Haikuja kwa bahati mbaya yote ni mipango ya Mungu ili siku atakapo amua kuilipiza hii laana kwa wana Ccm na maovu yao wasije sema laana ime toka wapi.
Ili Mh Rais Mama Samia hiki kikombe kimuepuke na asije kulaaniwa na kizazi chake, ina takiwa kwa muda huu huyo Kingai na Mahita wawe wako mahabusu pamja na boss wao Siro. Maana Siro alimjaza Mh. Rais makande. Hakumueleza ukweli wa hili jambo. Polisi mmejipaka mavi usoni.
Mama alisema Mbowe alikuwa na kesi ya ugaidi na wenzake walishahukumiwa.Unambishia mama?Huli wali na mandondo leo jioni.😝😝😝😝😝
 
Mkuu haya maandishi yako yatakuwa sahihi tu kama polisi na serikali watamleta ama kuonyesha Lejenje aliko, kinyume na hapo haya maelezo ya upande mmoja na ushahidi wa kimazingira na tabia ya jeshi letu la polisi ya muda mrefu ni dhahiri kwamba huyu ndugu walimmaliza!
Acha kuweka tafsiri zako potofu hapa

Kuanzia mwanzo mashahidi wa serikali walisema mpaka wanaondoka Moshi hawakumkamata Moses Linjenje.

Maelezo ya utetezi kila oanayehojiwa anadai hakuwahi kuonana na Moses Linjenje wala kumwona akikamatwa na polisi

Kutegemea taarifa ya upande mmoja wa utetezi kwamba walitishiwa kwamba wasingekiri wangefanya kama alivyofanyiwa Moses Linjenje haithibitishi Moses Linjenje alikamatwa na nani na walimfanya nini, lini, wapi kwa jinsi gani na kwanini?
 
Acha kuweka tafsiri zako potofu hapa

Kuanzia mwanzo mashahidi wa serikali walisema mpaka wanaondoka Moshi hawakumkamata Moses Linjenje.

Maelezo ya utetezi kila oanayehojiwa anadai hakuwahi kuonana na Moses Linjenje wala kumwona akikamatwa na polisi

Kutegemea taarifa ya upande mmoja wa utetezi kwamba walitishiwa kwamba wasingekiri wangefanya kama alivyofanyiwa Moses Linjenje haithibitishi Moses Linjenje alikamatwa na nani na walimfanya nini, lini, wapi kwa jinsi gani na kwanini?
Nikikuita wewe ni mpumbavu nakosea? Kama mashahidi wamesema sisi tuache kuhoji? Unategemea hata Goodluck akiitwa atathibitisha au atakubali?

Kama mashahidi wanasema na alikua miongoni mwao tutaacha kuhoji? Kama wote walikamatwa basi tujue ilikuaje Lijenje hakujamatwa na kwanini Goodluck atoe kauli ile?
 
Rubbish reaction from obtuse thinking tank
 
Kwa katiba ya jamuhuri ya Muungano wa Tanzania hakuna aliyejua ya sheria na kila mtu ni innocent kabla ya hukumu, Wallah Wabillah Taallah kwa ushahidi walioutoa mmefanya ukatili wa hali ya juu sana kupita kiasi, maana mpaka sasa kwenye ushindi wa pande zote mbili hakuna hisia za ugaidi hapa zaidi ya uonevu tu. Hakuna si upande wa utetezi wala upande wa mashtaka kwa ushahidi uliotolewa mtu unaweza kusema hawa ni magaidi hata kama hukumu ya mahakama bado.

Mmeamsha hisia za watu, hawa walikua ni makomandoo hamjui wameacha jamaa zao wangapi kule kazini, wanafamilia na wana wazazi wao walivuja majasho kuwalea. Basi mfanye hayo yote kwa kosa linalodhihirika, hapa tunasikia kua walikamatwa tuu walikua wakila njama za kulipia vituo vya mafuta kwa ujira wa laki 6. Tunajua ushahidi wa Mbowe utahitimisha kila kitu, mmeitonesha jamii, mmeumiza watu mno.

Kingai na Mahita kama maafisa wa polisi wanatajwa sana kuongoza hili zoezi, hivi wao si binadamu? Kweli mti ambaye tu hana historia ya tukio baya kwenye jamii tena wengine tunaambiwa ni wachamungu mnawakatili kiasi hicho?

Hiki kiburi cha utesaji kwa ukatili huu kinatoka wapi? Shida ni Mbowe tuu au kitu gani kuumiza watoto wa watu kiasi hiki?

Haya,shahidi anasema Goodluck alimwambia tutakutupa kama Moses Lijenje ukijifanya jeuri, huku polisi mmekana kumpata Moses Lijenje. Iko siku Goodluck atasema mlimtupa wapi.

Mungu atie ukuu wake katika hili, wenye roho za Wanyama na wageuke kua wanyama kama Nguruwe.
Wanawafanyia wanajeshi mambo hayo sisi wengine hata Sungusungu hatujapita tunafanyiwa mangapi?

Ewe mwendazake nenda Baba ulaaniwe ww na uzao wako woote.
 
Mimi nawaza tu hivi akina Hans Pope na Maganga walifanyiwa vya aina hii? Maana sikuwahi kusikia kabla.
Nyerere aliwasamehe. Ingawa walitenda Kosa la uhaini lakini Shamiri ya Nyerere ilimkumbusha kuw ana yeye( Nyerere) alikosea ndio maana walichukua maamuzi yale.
 
Back
Top Bottom