Polisi mlichowafanyia hao wanajeshi kwa ushahidi wao mmewakomoa ila mnatia hasira

Polisi mlichowafanyia hao wanajeshi kwa ushahidi wao mmewakomoa ila mnatia hasira

Uonevu unamwisho wake ndio maana walisema za mwizo siku arobaini ndizo hizi walikuwa hawajulikani Sasa Mungu kawaweka kweupe wangejua kuwa yangekuja kujulikana wasingethubutu kufungua kesi hii Sasa inawaumbua wao wenyewe.
 
Hivi komandoo unambembeleza atakuambia tu bila kumpa maumivu kidogo?
 
Afande Kingai, Mahita, Goodluck na Jummanne - wapi Moses Lijenje
 
Asilimia 87 ya story kesi tunazozisoma kwenye sheria ni maelezo ya kutunga ya kila pande ili kuweza kushswishi mahakama kukupa.ushindi. Ninashangaa aliyetoa wazo la ktumia vitabu vitakatifu kuapa halafu baadaye unatoa story ya kutunga.Ukitaka kuamini mtuhumiwa kisomewa kesi akikubali hata hakimu anamshangaa. Hivyo hata mawakili wanawaongoza wateja wao kusema uongo ili waweze kushinda kesi
Umenena vyema kabisa.
Watu wengi humu tunaamishwa vya kuambiwa lakn ni wavivu wa kufanya tafit ili kupata ukweli. Hakuna sehemu inayoongoza kwa uongo kama mahakan.
 
Hii kesi angepewa Profesa wa Money heist Raisi angetoa amri ifutwe...
 
nashauri tuchague mwenyekiti na Makamu mwenyekiti.
au tumuazime Mwenyekiti wa nccr aongoze chama.
 
Acha kuweka tafsiri zako potofu hapa

Kuanzia mwanzo mashahidi wa serikali walisema mpaka wanaondoka Moshi hawakumkamata Moses Linjenje.

Maelezo ya utetezi kila oanayehojiwa anadai hakuwahi kuonana na Moses Linjenje wala kumwona akikamatwa na polisi

Kutegemea taarifa ya upande mmoja wa utetezi kwamba walitishiwa kwamba wasingekiri wangefanya kama alivyofanyiwa Moses Linjenje haithibitishi Moses Linjenje alikamatwa na nani na walimfanya nini, lini, wapi kwa jinsi gani na kwanini?
Tulia wewe!!!
 
Nimewachukia Sana watoto wa quarters kupitia mijadala mbalimbali inayowahusisha Mahita na Kingai Kama watoto wahuni wa line.

Lakini najiuliza swali moja, Kwanini Mbowe alihitaji makomandoo, tena moshi na sio Ufipa kinondoni na Dar es salaam?!

Kunakitu kinaniambia kua huenda kunauovu fulani Ila pia polisi wetu wameshindwa kufuata utaratibu na pia wamekosa utu, kwa sasa siwezi kutana na Mahita au Kingai bar moja eti ninywe bia comfortably.

Naamini hii kesi jamhuri watapoteza, Ila haimanishi kua hakukua na uovu uliokua unapangwa.

Theory yangu nadhani , Hawa walikua recruited na Mbowe ku counter attack lile kundi la Sabaya,

Kama theory yangu ikiwa proven right, basi tushukuru pandezote yaani Sabaya na Mbowe na washirka wake wamedhibitiwa.

Nchi yetu ni bora Sana bila hao watu.
Naomba kusisitiza kua hii ni Nadharia binafsi.
 
Kwani aliyesema mbowe ni gaidi na wenzake wameshahukumiwa alikuwa mwendazake??. Pumbavu wewe mseme aliyepo achana na mfu hahusiki kwenye hiyo kesi
 
Back
Top Bottom