Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
Panyaroad wanalenga nyumba fulani tukafanye fujo fulani umesikia wapi?Wapi hiyo Mkuu
Shida ni hao wahusika wa hilo eneo waulizwe vizuri tatizo limeanzia wapi, huo unaitwa msako wa nyani sio panyaroad kuna shida pahala alafu kabla hauja-conclude jambo jaribu kuchukua hatua ya kufanya uchunguzi wa kina ujiulize nini shida chanzo ni nini?Ama huu ni mchongo wa mtu unaoibuliwa kila akitaka kupata maslahi yake anayoyajua mwenyewe?! Polisi na Wizara husika mnatuangusha, na mpaka sasa hakuna aliyewajibika kwa tukio la jana, aaaah Tanzania yangu!
Nimesikitishwa na mchango wako.Kazi ya polisi ni kulinda raia na mali zao,kitendo cha raia kuvamiwa wakiwa majumbani hakikubaliki,ni dhahiri kuwa jeshi letu imara la polisi linatakiwa kulichukulia jambo hili kwa tahadhari kubwa.Shida ni hao wahusika wa hilo eneo waulizwe vizuri tatizo limeanzia wapi.. huo unaitwa msako wa nyani sio panyaroad kuna shida pahala alafu kabla hauja-conclude jambo jaribu kuchukua hatua ya kufanya uchunguzi wa kina ujiulize nini shida chanzo ni nini?
Kwanini washambuliwe wao na sio vinginevyo?
Pia kingine mlinzi namba 1 ni wewe, ndio maana kukiwa na tukio lolote lenye kuhatarisha maisha ya raia unaripoti kituoni kulinda usalama, je wewe umechukua hatua gan kabla ya kuwalaumu polisi?
Matukio haya yamekuwa yakiripotiwa kila kukicha,tatizo liko wapi? Chanzo chake ni nini?aisee inafikirisha sana
Jibu lako hili hapa ☝️maana naona huelewi GirlandPanya road ni majirani zenu ni watu mnaoishi nao mitaani intelijensia inaanzia kwenu nyi nyi mkikaa kimya Polisi kazi yao itakuwa ngumu kataeni wahalifu from the roots kamata wakateni koo muone kama kutakuwa na hao panya road
Chanzo ni nyinyi wananchi wenyewe WAOGA WAOGA ndio maana mnaonewa na vitoto vidogo bila kuchukua hatua yoyote, hamna ushirikiano mnasubiri tukio litokee mpate story za kuandika mtandaoni.. ulinzi wa raia na mali zao unaanza na wewe.. yaan wewe usikie kelele za mwizi mwizi alafu ukae tu hauchukui hatua yoyote kisha baada ya tukio uanze kulaumu polisi hawafanyi kazi za kulinda raia na mali zao huo ni uzwazwaMatukio haya yamekuwa yakiripotiwa kila kukicha,tatizo liko wapi? Chanzo chake ni nini?
Umekula maharage ya wapi mkuu?Chanzo ni nyinyi wananchi wenyewe WAOGA WAOGA ndio maana mnaonewa na vitoto vidogo bila kuchukua hatua yoyote, hamna ushirikiano mnasubiri tukio litokee mpate story za kuandika mtandaoni.. ulinzi wa raia na mali zao unaanza na wewe.. yaan wewe usikie kelele za mwizi mwizi alafu ukae tu hauchukui hatua yoyote kisha baada ya tukio uanze kulaumu polisi hawafanyi kazi za kulinda raia na mali zao huo ni uzwazwa