gigabyte
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,717
- 6,465
Mambo hayatakiwi kua hivyo.Hao watu sio mwizi mmoja mmoja ni kikundi cha watu kuanzia 20 kuendelea na wamebeba silaha za asili kwahiyo wananchi wa kawaida hawawezi kupambana nao kirahisi kama unavyofikiria.kwasababu itawalazimu nawao wawe kikundi na wao wachukue silaha za asili.sasa unadhani kitakachotokea ni nini.ili wananchi waweze kushiriki lazima jeshi la polisi lihusike.jeshi la polisi ndilo lenye uwezo wakuunda vikundi vya ulinzi shirikishi vinavyotambulika rasmi kwenye mazibgira kama hayo tofauti na hapo unataka kutokee majanga yasiyo na ulazima.Chanzo ni nyinyi wananchi wenyewe WAOGA WAOGA ndio maana mnaonewa na vitoto vidogo bila kuchukua hatua yoyote, hamna ushirikiano mnasubiri tukio litokee mpate story za kuandika mtandaoni.. ulinzi wa raia na mali zao unaanza na wewe.. yaan wewe usikie kelele za mwizi mwizi alafu ukae tu hauchukui hatua yoyote kisha baada ya tukio uanze kulaumu polisi hawafanyi kazi za kulinda raia na mali zao huo ni uzwazwa