Polisi mnateketeza Tanganyika yenu na watoto wenu na wajukuu wenu na uzao wote wa Tanganyika

Polisi mnateketeza Tanganyika yenu na watoto wenu na wajukuu wenu na uzao wote wa Tanganyika

Mnakubali kuiingiza Tanganyika kwenye maafa wakati Zanzibar iko shari?
Tafakari mnachokifanya ni kwa manufaa ya ani? Tanganyika au Zanzibar?
Wengi hawako tayari ila hawana jinsi.. Utaona leo watakavyo behave ni tofauti kabisa na siku za nyuma
 
Tafakari mnachokifanya ni kwa manufaa ya ani?
Hili ni swali muhimu.
Hapana; jibu haliwezi kuwa kwa "manufaa ya Zanzibar"; hilo litakuwa ni kisingizio tu.

Wanufaika waku wa kuiteketeza Tanganyika ni hao wafadhiri wanaotoa pesa zao kuendesha kampeni hizi za kuhakikisha mama anaendelea kukaa madarakani ili kuwawezesha wafanye uchafu wao hapa. Hao ndio maadui wakuu wa Tanganyika.
hao wafadhiri ndio watakaomwaga pesa zao wakati wa mapambano haya na kwenye chaguzi zinazo fuata.

Vitisho na manunuzi yataendelea sambamba hadi hapo Samia atakapokuwa kavuka kuendelea na kazi ya kutuuza utumwani.
 
Mnakubali kuiingiza Tanganyika kwenye maafa wakati Zanzibar iko shwari?
Tafakari mnachokifanya ni kwa manufaa ya ani? Tanganyika au Zanzibar?
Basi kuna kijiwe cha gahwa wanasema Mkapa aliua wapemba wengi sana....Sasa hiki ni kisasi....na bado...Kuba babake.
 
ugumu wa serekali kukomesha mauaji na utekaji uko wapi mpaka mama yenu amechota bill 2 hazina ili kuwapa polisi wazuie maandamano
Sema kweli?

Nikijipa "uwakili wa shetani" nami nitauliza hivi: Kwani ange ruhusu, au kuyadharau tu maandamano yafanyike bila ya kufanya chochote kungempunguzia kipi hasa? Watu wange andamana na kurudi nyumbani. Na kama kungetokea ghasia zozote hao hao waandamanaji ndio hasa wange laumiwa.
Sasa ni kujiuliza: huyu mwanamke ni kitu gani kimemrusha akili kiasi hiki?
 
Mkuu mi bado majiuliza ugumu wa kuwarejesha soka na wenzie uko wapi?
mpaka watu waandamane au

ugumu wa serekali kukomesha mauaji na utekaji uko wapi mpaka mama yenu amechota bill 2 hazina ili kuwapa polisi wazuie maandamano
Kiburi cha udikiteita wa samia!
 
Back
Top Bottom