Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Habari wakuu,hii inchi ikienda ivi raia watashindwa kutoa ushirikiano Kwa majeshi yetu,yaan Hasa Hawa askari wetu wanao tembea rod na kukakamata vyombo vya usafiri,
Kuna askari jina kapuni uyu amekatama chombo cha moto kikiwa kimepaki na kimekamilika kila kitu na kutoa sababu kibao dk ya mwisho ni kukichukua chombo na kukipeleka kituoni, hii Haina hoja nzuri Kwa utendaji kazi.
Hii ni kazi na hizi ni sare wakuu Kuna maisha baada ya Kaz mana kumbuka askar maisha yapo uraini baada ya majukumu ya kazi,tubadilike sana Kuna mengi yanayo endelea mitaaan ila raia wanashindwa kutoa ushirikiano sababu ya mabavu kama haya🙏🏽🙏🏽