Polisi Morogoro vs Yanga live updates

Polisi Morogoro vs Yanga live updates

sasa anakosaje goli amebaki yeye na lango?

Hivyo ni vitu vya kawaida tu kwenye mchezo wa mpira wa miguu ambavyo vitu kama hivyo huwa vinatokea, unamkumbuka yule mchezaji wa Nigeria Yakubu ambae alikosa goli wakati mpira upo kwenye mstari wa goli!!!
 
Sawa Mkuu, endelea kutupa update.
 
Mpira unaanza hapa jamhuri morogoro kumalizia mngwe ya pili ya mchezo kati ya polisi morogoro vs yanga. polisi 0-1 yanga. kila la kheir dar young africans.
 
Anatoka Six mwasekaga na anaingia said bahanuzi kwa upande wa polisi moro.
 
Kelvin Yondani 0ut, Rajabu Zahir In
 
Niyonzima 0ut, Dilunga Hassan In
 
Dk ya 85, polisi 0-1 yanga
 
Polisisimba mbona mmeyeyuka ghafla? au nanyi mko kwenye kuapishana kwa Mawaziri na manaibu?
 
Kagoli kamoja tu? Fungeni analau lingine
 
Mpira umemalizika hapa uwanja wa Jamhuri morogoro, polisi 0-1 yanga. Timu ya wananchi yanga inatoka na points zote tatu.
 
Back
Top Bottom