Polisi msilete ubaguzi na uchonganishi, "Gaidi mfia dini" ndio nani?

hatari mno !
 
Tunaliomba Jeshi la Polisi pia lifuatilie nyenendo za viongozi wa Chadema na baadhi ya wafuasi wake ambao kimsingi walifurahia sana kitendo cha Gaidi Hamza kuwauwa Askari wetu.
hii inathibitisha kuwa viongozi wa Chadema na baadhi ya wafuasi wao wana kila dalili za kujihusisha na vitendo vya Kigaidi ndio maana walifurahia vitendo vilivyo fanywa na Hamza.
ni muhimu sana wafuatiliwe popote pale walipo ktk kila kona ya nchi hii.
tusowafuge wala kuwalea.
nasisitiza tena Jeshi la Polisi kamwe lisivumilie vitendo vya viongozi wa chadema na baadhi ya wafuasi.
 
Usiwe mbumbumbu,
Hata kripu aliyorekodiwa HAMZA alikuwa akitamka maneno gani?
 

waisilam kwa kudeka deka umeshasahau kama Raisi na Pm wote waisilamu, wameachiwa mashekhe wa uamsho kwa kesi ya ugaidi akafungwa mbowe na viongozi wengine wa dini ambao ni wa kristo, vipi na sisi tukianza kuhoji hoji kama nyie, waisilamu acheni kudeka deka mnakela sana
 
Polisi Wajumbe Radhi wenye Dini

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Wewe kuliletea suala hili Uzi ni kulikuza kipumbavu ,ungepiga kimya tu
Unamfundisha mwenzako unafiki? Yaani unataka anyamazie uovu wa polisi wetu?

Lakini cha ajabu hata wewe umeshindwa "kupiga kimya" badala yake umeamua ku - comment hoja yake na hivyo kuendelea kulikuza jambo...!!
 
Yote ni njia ya kujisafisha dhidi ya tetesi kuwa walikamata madini yake.

Walianza kwa kuwalaumu wazazi wake, sasa wamehamia kwenye dini yake. Yote ni kutaka watu waamini kwamba Hamza alikuwa gaidi.
Yani awe alitapeliwa madini yake, alibakwa Na polisi,mama yake alibakwa Na polisi...kitendo cha yeye kutembea maeneo ya ubalozini na silaha Na kuua watu kinamfanya Kuwa gaidi.. regardless ya motive behind
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…