Polisi msilete ubaguzi na uchonganishi, "Gaidi mfia dini" ndio nani?

Polisi msilete ubaguzi na uchonganishi, "Gaidi mfia dini" ndio nani?

Waguse uone moto mkuu
Moto utakaomuunguza ni wa kukubali kua brainwashed na kukataa facts out of chuki na kutaka kuchafua other people's beliefs inorder to show that people from other religions are wicked,very funny
 
Moto utakaomuunguza ni wa kukubali kua brainwashed na kukataa facts out of chuki na kutaka kuchafua other people's beliefs inorder to show that people from other religions are wicked,very funny
Hatari sn japo sijaelewa
 
Yote ni njia ya kujisafisha dhidi ya tetesi kuwa walikamata madini yake.

Walianza kwa kuwalaumu wazazi wake, sasa wamehamia kwenye dini yake. Yote ni kutaka watu waamini kwamba Hamza alikuwa gaidi ili waweze kufuta Tuhuma dhidi yao za kupora madini yake.
vipi madini yake mmeyakuta kwa nani??

tume huru kutoka kijiwe cha kahawa.
 
K
vipi madini yake mmeyakuta kwa nani??

tume huru kutoka kijiwe cha kahawa.
Kwani waliposema ni gaidi wana records zake ngapi to prove it zaidi ya tukio Lile alilofanya? Mbona hakuua watu wote tu aka deal na polisi tu? stop double standards,deal na facts.
 
Nimesoma maelezo ya DCI kwenye taarifa iliyoandikwa kwenye ukurasa wa Mwananchi news kua Marehemu Hamza alikua "Gaidi mfia dini" , hivi ni kweli kabisa ofisi ya DCI imeshindwa kupima kabisa uzito wa kauli hii? Kwa maana hiyo wafia dini wote ni magaidi?

Hamza alikua muumini wa dini ya kiislam kwa taarifa za majirani na familia yake, DCI awaambie umma wa waislam "Gaidi mfia dini" ni nani? Awaeleze watanzania ni dini gani inayotuma watu kua magaidi? Ugaidi wa Hamza wameuhusisha vipi na dini yake?

Hii chuki ambayo mnataka kuiingiza kwenye imani za watu ni uchokozi mtu na siyo sawa.Mnapaswa kuwaomba radhi waumini wa dini ya kiislam ambao kimsingi siyo wao waliomtuma Hamza kufanya aliyoyafanya.

Tatzo wa TZ tukiambiwa ukwel hatupend kwahyo ulitaka wasemaje sas wkt hat kuna clip imerokodiwa kweny bus Hamza mwenyw anasema yupo tyr kufa kwa ajil ya….
 
K

Kwani waliposema ni gaidi wana records zake ngapi to prove it zaidi ya tukio Lile alilofanya? Mbona hakuua watu wote tu aka deal na polisi tu? stop double standards,deal na facts.
ndio maana tunawaambia baada ya kushiba mihogo kachumbali,kafanyeni kazi.

taarifa nyingine zimefichwa maana upelelezi bado unaendelea,zipo video,chats,na voice note ambazo zimekutwa katika simu.

hawa watu mnaosema hamuwaamini tena,haimaanishi wameacha kufanya kazi,au kila kazi wanaifanya kipuuzi.kazi nyingine hazihitaji ubabaishaji.hasa wanapokufa wao hawajawahi kutegea.
 
Wewe kuliletea suala hili Uzi ni kulikuza kipumbavu ,ungepiga kimya tu
Wewe una upeo mdogo sana wa kufikiri,hivi kweli hili jambo ni la kunyamazia kweli??.Ukute wewe ndo mmoja wapo wa Askari waliompora dhahabu Hamza.
 
Kabla hata ya ripoti ya polisi, kwa uchunguzi wangu mdogo nilipo ambiwa Hamza anamiliki Migodi halafu baadae nikaiona hiyo inayo itwa migodi yake nilichoka kabisa!!
sio migodi ile bali ni machimbo au matuta ya viazi!! alikuwa anabangaiza tu, hayo machimbo yalikuwa hayana uwezo wa kutoa dhahabu hata ya milioni 3, mnasema 400mln?! nendeni kwenye hayo machimbo mkaangalie hamna cha maana zaidi ya kubangaiza yaani bora hata anaye piga boda anapata kipato kuliko hayo machimbo.
vyovyote vile itakavyo kuwa Hamza hakuwa na uhalali wowote ule wa kuuwa askari 4 na kuwajeruhi kadhaa.
 
Kila wakati mtu au kiongozi anapofungua kinywa chake siku hizi ni uozo tu

Halafu wanakuja baadae kuomba radhi

Kila anaeamini Mungu atafia kwa anachokiamini

Yaani Mfia dini imekuwa kosa la jinai?

Yeye atafia kwa dini gani ya police labda
Acheni ujinga iacheni polisi ifanye kazi yake! Mlishawahi kujiuliza yanayotokea msumbiji au mnabweka tu pasipo kutumia akili! Kwenye hili hatutaki mtumie hisia tumieni akili!
 
Mtu yeyote anaye ijua dini vizuri na anaye fuata mafundisho ya dini yake kikamilifu iwe dini ya kiislamu au ukristo kamwe hawezi kuthubutu kuuuwa watu hata kama ikiwa amedhulumiwa au hajadhulumiwa kamwe hawezi kufikia hatua ya kuuwa.
Gaidi Hamza alitekeleza unyama huo kwa tamaa zake za kimaisha ni msukumo wake mwenyewe amabo umeambatana na mwenendo wake wa Kigaidi.
Gaidi Hamza alijiandaa kwenda kufanya unyama na kujitoa muhanga kwa malengo ambayo anayajua zaidi yeye na mtandao wake wa kigaidi.
 
Leo nimewapenda bure Raia Mwema wametoka na Headline front page Hamza wa CCM Hatari * DCI adai ni gaidi wa Kujitoa mhanga , Kufia Dini* Afichua siri za kumpiga Risasi na Kumuua , kuna picha ya DCI kushoto na Hamza kulia akiwa na Jezi zake za mbogamboga akiwa kwenye kampeni zao na Mbunge wa Lupa Masache Kasaka
 
Acheni ujinga iacheni polisi ifanye kazi yake! Mlishawahi kujiuliza yanayotokea msumbiji au mnabweka tu pasipo kutumia akili! Kwenye hili hatutaki mtumie hisia tumieni akili!

Kauli yake na yako haitifautiani
Mtu anaeanza hoja na matusi hana hoja
Wewe unaona yuko sawa kutoa maneno ya maudhi sio
Yanayoendelea huko kila mmoja anayajua ila heshimu dini
Ukitukana unakosa hoja
Rudia kusoma hoja yangu dogo
 
That is the $64,000,000 question. Tunagombana kwa sababu dini zinapingana au kwa sababu baadhi ya waumini wanashindwa kuelewa lengo la dini?
 
Back
Top Bottom