Polisi msilete ubaguzi na uchonganishi, "Gaidi mfia dini" ndio nani?

Mtu yeyote anaye ijua dini vizuri na anaye fuata mafundisho ya dini yake kikamilifu iwe dini ya kiislamu au ukristo kamwe hawezi kuthubutu kuuuwa watu hata kama ikiwa amedhulumiwa au hajadhulumiwa kamwe hawezi kufikia hatua ya kuuwa.
Gaidi Hamza alitekeleza unyama huo kwa tamaa zake za kimaisha ni msukumo wake mwenyewe amabo umeambatana na mwenendo wake wa Kigaidi.
Gaidi Hamza alijiandaa kwenda kufanya unyama na kujitoa muhanga kwa malengo ambayo anayajua zaidi yeye na mtandao wake wa kigaidi.
 
Nawe ni mmoja wao, unarudia yaleyale ya ku-generalize. Si sahihi kusema Waislamu vile au Wakristo hivi, kila individual ahukumiwe au asemwe kwa matendo yake unless kama kitu kimefanya na institution au kundi flani.
 
Kwani uongo,wenzetu ubaguzi umewazidi mnatamani hata ifike siku mtangaze Tanzania ni nchi ya Kikristo.
 
Mimi wakati namuangalia anavo toa maelezo nikawa naona aibu Mimi! Kuna watu wanashangaza sana
 
That is the $64,000,000 question. Tunagombana kwa sababu dini zinapingana au kwa sababu baadhi ya waumini wanashindwa kuelewa lengo la dini?
101% baadhi ya waumini hawajui na wanashindwa kuelewa lengo la dini !
 
Nawe ni mmoja wao, unarudia yaleyale ya ku-generalize. Si sahihi kusema Waislamu vile au Wakristo hivi, kila individual ahukumiwe au asemwe kwa matendo yake unless kama kitu kimefanya na institution au kundi flani.
Je kama huyo 'individual' amefata mafundisho ya Dini take?
 
Hii ni Fitna inapikwa na ikichochewa kuni na hao wenyewe wanataka kuitia hii nchi tafran, hatujui lipi litakuja kesho na mtondogooo.
 
Unafikiri hajui anchokisema anajua vizuri sana lkn anapima kipimo joto anataka kujua waislamu watasemaje watamlaumu au watakaa kimyaa.Udini Tz upoo lkn mpk sana under ground na ukitaka kujua hilo angalia mfumo wenyewe wa serikali utapata picha kamili.
 
Usikariri kila mtu anaponea mihogo kama wewe huko,mihogo tunakula kama appetizer siyo shine kama wewe
Wapi nimesema kuna watu siwaamini au hawafanyi kazi au wanafanya kazi kipuuzi,usikurupuke kwa jazba second mihogo tunakula tukiwa na hamu nayo hatuponei mihogo kama shibe kama ilivyo kwako na kama uchunguzi unaendelea wasingetoa final Statement,wangesema the investigation is still on kama ambavyo hua wanasema Katika other serious issues,take a chill pill
 
Kwani uongo,wenzetu ubaguzi umewazidi mnatamani hata ifike siku mtangaze Tanzania ni nchi ya Kikristo.
Nimekuingiza rasmi kwenye kundi, nawe ni gaidi mfia dini.
Kama umefikia kuni-judge, you gotta be judged as well.
 
Tatizo lako u r full of hate and double standards,sijui na wewe member katika familia za polisi ndo maana,he was not right kama ambavyo wao hawakua right kumfanyia dhulma katika walichomfanyia mpaka akafanya alichokifanya,wote wako wrong na kama alikua gaidi kweli niliuliza humu na bado watu walio upande kama wako hawajajibu mbona hakuua watu wote waliokua eneo Lile,Polisi tu,facts over opinions and judgements,mnabaki tu hakua na madini wala nini then why did he attack the policemen only??
 
Nimekuingiza rasmi kwenye kundi, nawe ni gaidi mfia dini.
Kama umefikia kuni-judge, you gotta be judged as well.
Wewe ni nani unitishie,haya kawaambie hao mabwana zako.
 
kwani kula mihogo dhambi!!!dhambi ni nini unafanya baada ya kushiba,so uwe unalia hamu au huna budi,kama ukishiba unalewa hilo ndio tatizo.

umeshaambiwa uchunguzi wa awali unaonyesha hamza alikuwa na viashiria vya ugaidi,kwa matendo na aina ya mtindo wa maisha aliokuwa nao hasa kupitia simu yake.

umeshiba mihogo tena unakuja,kichwa kichwa hapa.
 
Je kama huyo 'individual' amefata mafundisho ya Dini take?
Mafundisho ya dini? Ipi? Stop throwing shades ukidhani hatutaelewa,Kuna dini inafundisha uovu au ndo chuki zinakupeleka mbio?
too much hate and negativity
 
nyinyi tukiwaita mbuzi,kaeni chini mjiulize mnakosea wapi!!!

hamza kaporwa dhahabu na nani???aliyeshuhudia tukio alikuwa kasimama wapi??kibandani kwa askari au mfukoni kwa hamza,maama dhahabu sio gunia la mihogo kwamba kila mwenye macho analiona.
 
Mafundisho ya dini? Ipi? Stop throwing shades ukidhani hatutaelewa,Kuna dini inafundisha uovu au ndo chuki zinakupeleka mbio?
too much hate and negativity
kwani unaishi dunia ipi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…