Polisi msilete ubaguzi na uchonganishi, "Gaidi mfia dini" ndio nani?

Ukweli umekuuma,kula mihogo yako ulale maana wewe ndo inakulewesha mpaka unaona wote tumelewa ndo tatizo unatuona wote tatizo,I pity youacha jazba inakuponza sana coz inatupa picha ya what kind of a person you are maana unarudia yaleyale,nimesema wapi kula mihogo dhambi? Wewe ndo unakuja empty kichwa kichwa halafu unanilisha maneno khaaaaaa uchunguzi wa awlai doesn't mean final investigation sasa umebisha nini it means bado kuna more details,unapenda tu ubishi na kujitia ujuaji,bwana judge hahahahahaa
 
Ila tukubali wenzetu dini ya Hamza hawaaminiki, wana agenda zao za kufikirika ambazo zinawafanya wajione wako sawa. Tunaishukuru Polisi kwa uchunguzi wa haraka lakini ni wakati sasa wa kukata hizo kucha kabla hazijaota. Hizi shule zao za kidini ni za kuangalia sana
 
ukweli gani umeandika hapa wa kuumiza mtu,kwamba mimi nakula mihogo!!!!

mnakujaje na akili za facebook humu???
wewe ulitaka polisi waseme jamaa yako aliporwa dhahabu wakati hakuwa nazo!!! na haikuwa hivyo??
kama sio story zenu baada ya kushiba mizizi ni aina gani ya uchafu mmekula???
 
nyinyi tukiwaita mbuzi,kaeni chini mjiulize mnakosea wapi!!!

hamza kaporwa dhahabu na nani???aliyeshuhudia tukio alikuwa kasimama wapi??kibandani kwa askari au mfukoni kwa hamza,maama dhahabu sio gunia la mihogo kwamba kila mwenye macho analiona.
Siwezi kukaa chini kujiuliza nonsense,I don't have time,mbuzi ni wewe ndo maana unaona wote mbuzi na kama ambavyo wewe unawaunga mkono wafanya dhulama na sisi tunapinga dhulma jibu swali kwanini alishambambulia polisi tu na siyo watu,huna majibu,acha kuacha chuki ikutawale,inakutia ujinga
kwani unaishi dunia ipi!!!
kwani unaishi dunia ipi!!!
Kwa kua you know everything,let me know dunia ipi,smh
 
Pasi na shaka hilo liDCI litakua KAFIRI tu 😆😆😆
 
Imefanyaje
Wewe unazijua dini zote duniani Na mafundisho yake??
Tuanze Na hii kwanzaView attachment 1924837View attachment 1924836
Kwani wewe haumuamini Mwenyezi Mungu? Unamuamini nani sasa shetani? Na hiyo Quran ni muongozo kwetu sasa kama Unataka kuchukua some parts ambazo Unataka vituonyeshe waislam ni waovu,keep on trying maana humo humo kuna parts zinasema hakuna kumdhuru ambaye hajaanza kukudhuru mbona hujachukua ukapost humu zote,double standards na chuki tu,kila mtu abaki na imaan yake,utajisumbua tu
 
 
Ngoja wakitokea kisawasawa ndo watawajua wafia dini.
Kiukweli polisi wengine ni Kama wale walioua wafanyabiashara majambazi mahenge morogoro.
Unakamatwa na mzigo anataka akutoe
 

Hapa naona tatizo ni la polisi na hao wa dini ya hamza, uzuri na mama ni muislam hivyo sie wengine hayatuhusu muhimu tuendelee kudai katiba mpya
 
Sasa wewe fata some parts ila WaPo wanaofata other parts kina Hamza .
Hawa ndo tunaowaadress
...wewe kisa unafata some parts haizuii wale kufata other parts
.
Bytheway kutomuamini mwenyezi mungu wako hakunifanyi nimuamini shetani wako.... Shortly siamini story Za wazee wa zamani zisizo Na evidence
 
viingereza vingi kwenye sentensi ya kiswahili ni dalili ya uoga.

swala la yeye kuua polisi pekee umelitoa wapi??hujasikia kuna mlinzia wa kampuni pia??au nayeye alipewa dhahabu??
acha umbuzi.

kwanza wewe unajua alikuwa amepanga kuua nani na nani??
 
Kulifungia gazeti la naia mwema haliondoi ukweli kwamba Hamza alikuwa kada wa CCM kidakindaki.

Tena msichanganye dini na huo mnaouita ugaidi wenu na Hamza ...Hamza ni wa kwenu pambaneni kujisafisha.

CCM oyeeee - Hamza oyeee!!
 
Wewe ni nani unitishie,haya kawaambie hao mabwana zako.
Stupid, sikutishi wala ulipo sipajui na sina mpango wa kupajua so keep your but hole tight.
Hiyo ni classification tu nimekupa ya gaidi mfia dini.
 
Pole sana,tatizo chuki ndo inakutafuna kwani kuna mwenyezi mungu wa ngapi hadi useme wangu au kuna shetani yupi na yupi hadi useme wangu? wa waislam na wakristo? I pity you kwani kuna aliyekuambia uamini story za kijiweni hapa ama ndo Unataka kunilisha maneno? Generalizing issues kwa watu wote kwa sababu ya tukio la mtu mmoja doesn't work in life,baki na unachoamini haulazimishwi lakini usijifanye unajua sana imani za wengine au undani wa mtu even salt looks like sugar,a sinner judging others sinners for sinning differently,very funny nimemaliza wala sijisumbui kukujibu endelea tu kuandika unavyotaka,smh.
 
Ndo wachukiaji na wabaguzi mnavyojipa moyo na kujijaza ujinga eti dini ya hamza aliileta kutoka wapi? Agenda zetu zipi hebu tuambie,poleni sana watu wenye mawazo finyu na mnaojiona superior kuliko wengine,hakuna mtakatifu,kila mmoja ana dhambi zake ila humu kila mmoja anataka kujifanya msafi,unafikia nao ni kazi khaaaaaaaaa ndo mmeanza tena kuwapenda polisi na kuwashukuru kwa kua wamesema mlichotaka kusikia,get well soon kwa kweli maana hata hiyo imani yako na mawazo yako yanasikitisha,unahitaji help.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…