Polisi: Mwili wa Hamza tumeshaufanyia kazi

Polisi: Mwili wa Hamza tumeshaufanyia kazi

kiroka

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2018
Posts
358
Reaction score
1,887
Nimemsikia kamanda Sirro anasema mwili wa Hamza washaufanyia kazi ndugu waende wakauchukue wasiopouchukua utazikwa na City

Lakini najiuliza huu mwili polisi wanaufanyia kazi gani, mtu keshakufa kinachofata ni kuzika police wana kazi gani tena nao, wajuvi naomba nijuzeni
 
hawa wanatafuta chambo.
watakao kwenda kuchukua marehemu kwa wa weka kwenye list ya maneno ya ugaidi.

hii inatokea sana kubebwa mfano jambazi kuzikwa kuna kuwa na polisi wa kutosha.

hapa watajazwa askari kanzu na mashushu watu wajikute wanapata tiketi za kubeba mzigo wa marehemu hamza.

maana wanajua wanachi wameshangilia sana kwa bahati mbaya hawana mtuumiwa
 
Lakini najiuliza huu mwili polisi wanaufanyia kazi gani, mtu keshakufa kinachofata ni kuzika police wana kazi gani tena nao, wajuvi naomba nijuzeni
Inawezekana walienda kuuongezea mwili wake risasi kwa hofu anaweza kufufuka... Si unajua polisi wetu wakiingia kwenye 18 wanajikuta wanapiga hadi vivuli vyeo? 😁
 
Lakini najiuliza huu mwili polisi wanaufanyia kazi gani, mtu keshakufa kinachofata ni kuzika police wana kazi gani tena nao, wajuvi naomba nijuzeni
Nadhani polisi wana forensic yao! Yawezekanakitengo hicho ndicho kinashughulika!
 
Ndugu zake wako ndani,
Atazika nani?
Na huu ni uonevu mwingine utakaoongeza chuki dhidi yao. Mtoto (mtu mzima wa zaidi ya miaka 18 na anaisha maisha ya kujitegemea) afanye kosa, mzazi na ndugu wawajibishwe??!! Ni kwa sheria ya wapi jamani?. Mbona inakera, kukasirisha na kusononesha pia? Hao ndugu ndio waliomtuma Hamza kufanya alichofanya??
 
Nmemsikia kamanda Siro anasema mwili wa Hamza washaufanyia kazi ndugu waende wakauchukue wasiopouchukua utazikwa na City

Lakini najiuliza huu mwili polisi wanaufanyia kazi gani, mtu keshakufa kinachofata ni kuzika police wana kazi gani tena nao, wajuvi naomba nijuzeni

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Post mortem
 
Back
Top Bottom