Polisi na Jeshi, ikitokea la kutokea, wanaowatuma hawatakufa mtakufa nyinyi, wananchi, ndugu zenu, watoto wenu, wetu

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
ANGALIZO: I am not advocating for this, NO, NO, NO. ILA NATOA TAHADHALI.

Sasa hivi kwa vile mna bunduki , mabomu na madege, na upande mwingine hauna bunduki wala chochote, hamuwezi kuona hatari za kinachoendelea nchini. Pale ambapo pande zote zikiwa na bunduki na vifaa kama nyinyi, mkaanza kubeba maiti za wenzenu, akili itawakaa sawa.
WANU NA ABDUL HAWATAKUFA, WATAPAA KWENDA KWA WAJOMBA
Mna nafasi ya kukataa kuchochea uhasama unaoanza kushika mizizi au umeshashika mizizi. Kataeni mambo ambayo ni ya Uonevu kama kuwabambikia watu kesi za ugaidi na kuwanyima dhamani ili muwatese.

Nanyi Majaji, sidhani kama mtahamisha wanaowahusu wote kwenda Arabuni. Kataeni kutoa hukumu zisizo za haki.

Ni angalizo tu na wala siombei hayo . Mimi sina pa kwenda. Nitakufa kama kuku wa kideli
 
Colonel Muamar Aliwaita GEN Z kuwa ni mende na wepewa madawa ya kulevya.
Akasema atawasagsaga.

Mambo yalipoharibika Wazungu wakaja na madege Yao kuwasaidia mende.
Muamar akazidiwa,akakimbilia chini ya tundu la daraja kujificha masikini.

Gen Z wakamchomoa wakampiga,wakamtesa,wakamsulubu,kisha akafa.
Wakaanza msako wa kumtafuta kinda Seif Al Islam.
Sikumbuki hatma yake lkn alikuja kufa baadae.

End of Muamar
 
Ulivyoandika unaweza kudhani wamekuelewa sasa!!
 
ANGALIZO: I am not advocating for this, NO, NO, NO. ILA NATOA TAHADHALI.

Sasa hivi kwa vile mna bunduki , mabomu na madege, na upande mwingine hauna bunduki wala chochote, hamuwezi kuona hatari za kinachoendelea nchini. Pale ambapo pande zote zikiwa na bunduki na vifaa kama nyinyi, mkaanza kubeba maiti za wenzenu, akili itawakaa sawa.
WANU NA ABDUL HAWATAKUFA, WATAPAA KWENDA KWA WAJOMBA
Mna nafasi ya kukataa kuchochea uhasama unaoanza kushika mizizi au umeshashika mizizi. Kataeni mambo ambayo ni ya Uonevu kama kuwabambikia watu kesi za ugaidi na kuwanyima dhamani ili muwatese.

Nanyi Majaji, sidhani kama mtahamisha wanaowahusu wote kwenda Arabuni. Kataeni kutoa hukumu zisizo za haki.

Ni angalizo tu na wala siombei hayo . Mimi sina pa kwenda. Nitakufa kama kuku wa kideli
Huna pa kukimbilia ndio maana unawachochea watu kwa majina bandia. Si ungekaa kimya tu. Vijana mliowandanganya Oktoba 29 tupo nao mtaani wanajuta!!
 
Tuko aware na hilo ndiyo maana hatutatoa Chance ya Soft power transition, CHADEMA au chama Chochote ili kushika Dola kinatakiwa kiwe na Jeshi hiyo ndiyo requirement hatuta entertain chochote kinachohusiana na Dola.
 
Huna pa kukimbilia ndio maana unawachochea watu kwa majina bandia. Si ungekaa kimya tu. Vijana mliowandanganya Oktoba 29 tupo nao mtaani wanajuta!!
Hata huyu aliemuru vijana wauawe anajuta pia, Hujamuona alivyopoteza nuru na kukongoroka?
 
Back
Top Bottom