Polisi na mahabusu wapoteza maisha ajalini Mwanza

... Mkuu mbona picha inaonesha hakuna kona hapo kwenye tukio? Barabara imenyooka kama rula.
 
Polisi waache sifa za speed barabarani,zitawagharimu sana
 
Kwa kuharibika kote huko, mtu kweli utakuwa sahihi kusema tie rod ilikatika kweli?
 
Mengi ya magari ya polisi ni mabovu na hayafanyiwi matengenezo na marekebisho ya mara kwa mara, lakini ajabu unasikia kwenye bajeti wanatengewa fedha ya matengenezo ya magari.

Kuna dereva mmoja wa taasisi ya serikali pale Morogoro, alikuwa anapewa fedha ananywea, anatafuta oil chafu ana refill kwenye gari, anatafuta risiti fake anapeleka kwa muhasibu biashara imekwisha mpaga gari ilipokufa injini akakaa benchi.
 
Umesema yote niliyotaka kuandika!! Steering rod Sio Kitu kama Bua la muhindi kukatika kirahisi hivyo, hapa Kuna uzembe WA uendeshaji uliopitiza!! Sasa kama ni steering rod Kwa nini kila siku wanatufanyia ukaguzi wakati vyombo vyao havina service!!??? Watuambie ukweli utawaweka huru!!
 
Mwendo kasi unaua waache sababu zisizo na msingi.
 
Waken double road njia ziwe za uelekeo mmoja watu watapunguza kufaa japo ingekua one way yasingetokea
 
Who doesn't know that Policemen are the most reckless drivers.
 
The lord has given & the lord has taken his name to be blessed.....[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Ila we jamaa wewe! Ni kiboko! Blind corner iko wapi hapo. Tukikufuatilia vizuri tutabaini ya kuwa wewe ni mchawi! Usiwe hivo mkuu!


YESU NI BWANA NA MWOKOZI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…