Qurie
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 3,644
- 3,880
Yeye ndo alikaa bench au gari ndo ilikaa bench akaletewa nyingine ai ueMengi ya magari ya polisi ni mabovu na hayafanyiwi matengenezo na marekebisho ya mara kwa mara, lakini ajabu unasikia kwenye bajeti wanatengewa fedha ya matengenezo ya magari.
Kuna dereva mmoja wa taasisi ya serikali pale Morogoro, alikuwa anapewa fedha ananywea, anatafuta oil chafu ana refill kwenye gari, anatafuta risiti fake anapeleka kwa muhasibu biashara imekwisha mpaga gari ilipokufa injini akakaa benchi.