Yeye ndo alikaa bench au gari ndo ilikaa bench akaletewa nyingine ai ueMengi ya magari ya polisi ni mabovu na hayafanyiwi matengenezo na marekebisho ya mara kwa mara, lakini ajabu unasikia kwenye bajeti wanatengewa fedha ya matengenezo ya magari.
Kuna dereva mmoja wa taasisi ya serikali pale Morogoro, alikuwa anapewa fedha ananywea, anatafuta oil chafu ana refill kwenye gari, anatafuta risiti fake anapeleka kwa muhasibu biashara imekwisha mpaga gari ilipokufa injini akakaa benchi.
Walijua mambo yake, gari lilipokufa akabakia dereva ziadaYeye ndo alikaa bench au gari ndo ilikaa bench akaletewa nyingine ai ue
Mwenyezi Mungu awalsze pema Mahabusu na awalaze wanapostahili PolisiPoleni askari.
umeambiwa gari imekata sterling rod....sasa hapo hakuna cha kujitetea hata kama hauja overtakehili issue ya 'ku-overspeed + reckless driving' kwa madereva wa magari ya serikali limekuwa ni kaburi kwa wasio kuwa na hatia na kibaya Zaidi hakuna kiongozi yoyote anaye likemea, ona sasa yaani askari mzima ana overtake kwenye 'blind corner' sehem ambayo hajui mbele yake kuna anaenda kukutana na nini na siku ya mwisho jeshi la polisi wanamkamata na kumfungulia mashitaka aliye gongwa, pole kwa mahabusu/ watuhumiwa walio fariki ….
Unaijua sterling rod ya land cruiser wewe??? Chawa tukiangalia damage kwenye body ya hiyo gari tuna kupa adi ‘impact speed’ kipindi inagonga hilo loriumeambiwa gari imekata sterling rod....sasa hapo hakuna cha kujitetea hata kama hauja overtake
Sterling [emoji777]Unaijua sterling rod ya land cruiser wewe??? Chawa tukiangalia damage kwenye body ya hiyo gari tuna kupa adi ‘impact speed’ kipindi inagonga hilo lori
Polisi je🤣R.I.P Mahabusu..
Lzm awe spid kwani alikuwa anasafirisha magaidi [emoji1][emoji1] wa michongoDaa! kwa hiyo picha bila shaka hapo ilikuwa 150kph!!!