Polisi na mahabusu wapoteza maisha ajalini Mwanza

1.Ajali imetokea Geita na sio Mwanza.
2. Steering rod imekatika kwa uchunguzi gani waliofanya? Au wamebuni tu ili kuficha ukweli kuwa hawa watu wako reckless sana barabarani. Yani huwa wanajimilikisha barabara na kuvunja sheria zote za barabarani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…