Polisi na rais nani wenye madaraka makubwa hasa wakati huu ambapo nchi inajiendea tu kana kwamba haina serikali?

Polisi na rais nani wenye madaraka makubwa hasa wakati huu ambapo nchi inajiendea tu kana kwamba haina serikali?

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709
Kuteka, kupoteza, kuua, kutisha, kunyanyasa, kudhalilisha, kupokea rushwa, kuvunja sheria, kujitwalia mamalaka, kufanya watakavyo ndiyo unavyoweza kuelezea jeshi la polisi kwa sasa.

Huwa nashangaa. Je haya mamlaka yasiyo na mipaka jeshi la polisi limeyapata wapi? Wapi madaraka ya rais? Je jeshi la polisi linamtumia rais au linatumiwa na rais au wanatumiana?
 
Back
Top Bottom