Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 6,007
- 15,216
Gentleman,Kutokana na kashi kashi ya October 29 mpaka leo na mambo yanayoendelea bado kidonda kibichi.
Serikali ya CCM ilipofikia na kufikia sasa kuzibiti vyombo vya habari na polisi kwenye taarifa,Kwa sasa wamewapangia jinsi ya kutoa taarifa mbele ya wananchi.
Kuna habari moja ya boti iliyozama ikiwa na abiria 12 huko karibu na tanga ila habari inasema kafa mtu mmoja na ndiye alikuwepo yeye tu.
Kwa sasa hata mkifa 20 na zaidi kuna wezekana wasitangaze au waeleze jambo kama la kawaida tu.
We kazi yako hupo hapo na watekaji kuona nani anatoa Uzi kuzijibu.Wamewaweka kama mashoga.Gentleman,
ikiwa una taarifa muhimu za uhakika kuhusu jambo lolote humu nchini, hasa lililotekea karibu na wewe, tafadhali toa taarifa kwenye mamlaka husika na itapendeza zaidi.
Hakuna haja ya kuwalaumu waandishi habari weledi na wachapakazi wa Tanzania, kuripoti kitu ambacho hawakijui ispokua unakijua wewe tu na umezikalia taarifa na kudhani wanahabari ni malaika wajue unachokijua wewe.
Ni muhimu sana kua na heshima kwa waandishi wa habari nchini, na kujitenga na upotoshaji dhidi ya waandishi wa habari wazalendo.π
Mungu Ibariki Tanzania
relax,We kazi yako hupo hapo na watekaji kuona nani anatoa Uzi kuzijibu.Wamewaweka kama mashoga.
Mabasha zako wa serikalini inaonekana wanakulipa vizuri kuwatetea humu JF shoga wewe,huko radhi kusema zile hazijuwa shahawa yalikuwa ni maji wakati watu waliona ni shahawaGentleman,
ikiwa una taarifa muhimu za uhakika kuhusu jambo lolote humu nchini, hasa lililotekea karibu na wewe, tafadhali toa taarifa kwenye mamlaka husika na itapendeza zaidi.
Hakuna haja ya kuwalaumu waandishi habari weledi na wachapakazi wa Tanzania, kuripoti kitu ambacho hawakijui ispokua unakijua wewe tu na umezikalia taarifa za uhakika na kudhani kwamba wanahabari ni malaika, ambao wanajua unachokijua wewe.
Ni muhimu sana kua na heshima kwa waandishi wa habari nchini, na kujitenga na upotoshaji dhidi ya waandishi wa habari wazalendo.π
Mungu Ibariki Tanzania
tuliza mihemko, makasiriko na mapepo useless jukwaani na itapendeza zaidi gentleman πManasha zako wa serikalini inaonekana wanakulipa vizuri kuwatetea humu JF shoga wewe
relax,
changia mjadala bila mihemko gentleman na itapendeza zaidi
Nchi imefika pabaya ebu imagine mtu kama huyo ndani ya familia yakeWe kazi yako hupo hapo na watekaji kuona nani anatoa Uzi kuzijibu.Wamewaweka kama mashoga.