mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,591
- 5,315
Unapaswa usome kwanza, kisha uchangiePolisi hawazuii uchaguzi bali wanaagizwa kuzuia uchaguzi, usiwape jukumu ambalo sio lao.
Jeshi letu ni takatifu
Mitano tena inakuja kwa ulaini ajabuUnapaswa usome kwanza, kisha uchangie
Ulaini upi mkuuMitano tena inakuja kwa ulaini ajabu
Nakubaliaana na wewe.Lakini sisi CCM tutakachofanya ni kutiki tu bila kujali idadi ya waliyojitokezaWakati polisi wakiwa mabarabarani kwa hasira kusubiri waandamanaji wa kuzuia uchaguzi ili kuwafyatulia maji ya washawasha na lisasi za moto, naamini haitakuwa hivyo!
Watu watakwenda kwenye vituo vya kupigia kura kwa amani na salama kabisa na bila kujulikana ni kina nani watahusika katika kukwamisha uchaguzi huo
Katikati ya upigwaji kura, Wazuwia uchaguzi wakiweza kuanzisha sekeseke hapo itakuwaje? Kitatokea nini kama siyo jeshi la police kuhamaki, nawaza tu!
Mimi nafahamu, ikitokea hilo, mtu wa kwanza kuzuia huo uchaguzi ni polisi, bila hekima ya kutosha, watapiga mabomu tu, na watu wote kwenye vituo vya kupiga kura hawatabaki, lazima watasambaratika kwa kukimbia, na ndio itakuwa mwisho wa kupiga kura siku hiyo
Je, huo utakuwa ni uchaguzi kweli?
Nani atakwenda majumbani kwa watu kuwarudisha raia waje kuendelea kupiga kura?
Naomba, kwa hekima za viongozi wetu wa nchi, wakubaliane tu wayazungumze yaishe
Maana itakuwa rahisi mno kuzuilika kwa uchaguzi
Mkuu takatifu au takakitu?? 🤣 🤣 🤣 🔊Polisi hawazuii uchaguzi bali wanaagizwa kuzuia uchaguzi, usiwape jukumu ambalo sio lao.
Jeshi letu ni takatifu
🤣 🤣 🤣 🔊 Mbavu sina!Nakubaliaana na wewe.Lakini sisi CCM tutakachofanya ni kutiki tu bila kujali idadi ya waliyojitokeza
Wabunge nao?Ukizuia Uchaguzi serikali itakuwa bado ipo.
Itakuwa unelected government.
Au ukizuia Uchaguzi Samia ataenda Kizimkazi?
Kwanini useme, "wazuia uchaguzi"? Kwani wewe sio miongoni mwao? Kama wewe sio miongoni mwao, maana yake kama kawaida yenu, baada ya kukinukisha mitandaoni as keyboard warriors, mnategemea wengine ndio waingie road sio? Ahahahahaha!! Wajinga ndio waliwao. Ngoja tuwasubirie!Wakati polisi wakiwa mabarabarani kwa hasira kusubiri waandamanaji wa kuzuia uchaguzi ili kuwafyatulia maji ya washawasha na lisasi za moto, naamini haitakuwa hivyo!
Watu watakwenda kwenye vituo vya kupigia kura kwa amani na salama kabisa na bila kujulikana ni kina nani watahusika katika kukwamisha uchaguzi huo
Katikati ya upigwaji kura, Wazuwia uchaguzi wakiweza kuanzisha sekeseke hapo itakuwaje? Kitatokea nini kama siyo jeshi la police kuhamaki, nawaza tu!
Mimi nafahamu, ikitokea hilo, mtu wa kwanza kuzuia huo uchaguzi ni polisi, bila hekima ya kutosha, watapiga mabomu tu, na watu wote kwenye vituo vya kupiga kura hawatabaki, lazima watasambaratika kwa kukimbia, na ndio itakuwa mwisho wa kupiga kura siku hiyo
Je, huo utakuwa ni uchaguzi kweli?
Nani atakwenda majumbani kwa watu kuwarudisha raia waje kuendelea kupiga kura?
Naomba, kwa hekima za viongozi wetu wa nchi, wakubaliane tu wayazungumze yaishe
Maana itakuwa rahisi mno kuzuilika kwa uchaguzi
Uchaguzi? au uteuzi?Wakati polisi wakiwa mabarabarani kwa hasira kusubiri waandamanaji wa kuzuia uchaguzi ili kuwafyatulia maji ya washawasha na lisasi za moto, naamini haitakuwa hivyo!
Watu watakwenda kwenye vituo vya kupigia kura kwa amani na salama kabisa na bila kujulikana ni kina nani watahusika katika kukwamisha uchaguzi huo
Katikati ya upigwaji kura, Wazuwia uchaguzi wakiweza kuanzisha sekeseke hapo itakuwaje? Kitatokea nini kama siyo jeshi la police kuhamaki, nawaza tu!
Mimi nafahamu, ikitokea hilo, mtu wa kwanza kuzuia huo uchaguzi ni polisi, bila hekima ya kutosha, watapiga mabomu tu, na watu wote kwenye vituo vya kupiga kura hawatabaki, lazima watasambaratika kwa kukimbia, na ndio itakuwa mwisho wa kupiga kura siku hiyo
Je, huo utakuwa ni uchaguzi kweli?
Nani atakwenda majumbani kwa watu kuwarudisha raia waje kuendelea kupiga kura?
Naomba, kwa hekima za viongozi wetu wa nchi, wakubaliane tu wayazungumze yaishe
Maana itakuwa rahisi mno kuzuilika kwa uchaguzi
Mkuu,Kwanini useme, "wazuia uchaguzi"? Kwani wewe sio miongoni mwao? Kama wewe sio miongoni mwao, maana yake kama kawaida yenu, baada ya kukinukisha mitandaoni as keyboard warriors, mnategemea wengine ndio waingie road sio? Ahahahahaha!! Wajinga ndio waliwao. Ngoja tuwasubirie!