peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,223
- 31,465
Chacha yupo sahihi
Kikatiba na kisheria vyombo siyo Mali ya CCM. Ki-practice ni Mali ya CCM. Chacha ni realistic.
sio vya kwetu ukitaka kujua sikiliza majibu ya Kingai TAL alipotaka kumtumia kama shahidi1
Kwani police wenyewe wanasemaje