goodluck mtura
New Member
- Mar 6, 2014
- 1
- 9
Askari polisi kituo cha Nyegezi kushirikiana na mgambo wanakamata wateja wetu katika ofisini zetu za Nyegezi, Buhongwa Mkuyuni, licha ya kulipa mapato yote ya serikali, hii ni halali?
Wakiwakamata wanawapa kosa la kucheza kamali, je betting ni kamali?
Mbona tunakata lesseni na tunalipia TRA?
Wakiwakamata wanawapa kosa la kucheza kamali, je betting ni kamali?
Mbona tunakata lesseni na tunalipia TRA?